Tetesi: Private jet ya Jux kuwasili Jumanne

Tetesi: Private jet ya Jux kuwasili Jumanne

Ndio maana ya kuwa GT!!

Hivi unajua kwanini mtandao wa fedha BOT na mabenki ya serikali umepotea hadi watafute ma IT Toka south Africa!

Unafikiri ndani hiki kipindi Hadi mambo yakiwa sawa zitakua zimeibwa sh. Ngapi!!?

Nauliza TU!
Tunachoweza sie mama anaupiga mwingi mama anakubalika acha scammer watukomeshe tu
 
Sasa hii inayotarajiwa kuja ni kitu gani?
1725743516331.png
 
Sasa hii inayotarajiwa kuja ni kitu gani?
Mnafikiri private jet unapack kwako kama gari?...hv mnajua gharama za kulipa marubani,service na njia?au mnafikiri unaendesha tu bure kama mikokoteni ya kariakoo
 
Huku niliko leo ni Jumatano huko Dar Jumanne haijafika ndio maana sijasikia mlio wa private jet?
 
🤣🤣🤣🤣....we jamaa uwe seriouc ujue.

Eti mfanyabiashara maaruu Duniani seriouc???🤣
 
Back
Top Bottom