Itamuua hii lazima kama sio kupotelea angani uko uko au baharini ni huzuni kwa kwa kweliPrivate jet ya Msanii na Mfanyabiashara maarufu duniani, Juma Jux inatarajiwa kuwasili Jumanne saa 7 mchana katika Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Wote mnaalikwa kwenye mapokezi.
Dah kumamake walahi, mimi hapa nalilia kupata hata elfu 10 tu hapa..Ndio maana ya kuwa GT!!
Hivi unajua kwanini mtandao wa fedha BOT na mabenki ya serikali umepotea hadi watafute ma IT Toka south Africa!
Unafikiri ndani hiki kipindi Hadi mambo yakiwa sawa zitakua zimeibwa sh. Ngapi!!?
Nauliza TU!
Safi sana