Priyanka Chopra: Star mkubwa Indiana Hollywood afunguka kuhusu ndoa yake

Hata video, nimetoka kuangalia interview yake hivi karibuni.

Na anaonekana kakulia India kabisa, maana hata lafudhi ni kihindi pure.


Duh!! nimeitizama hii video,... aise yupo na ucheshi mwingi sana, yaani utatamani tu kumsikiliza usitamani aache kuzungumza.
 

Nachokumbuka aliishi Marekani muda tu kabla ya kurudi India na Jina tayari alikuwa ashalipata Hollywood kupitia movies and series kama Quantico. Hata kama ingekuwa ni reason sahihi naona alifanya vizuri tu maana sioni kama kuna Bollywood actress ambaye yupo juu Hollywood kuliko yeye. Ipo sawa tu
 
Priyanka Chopra...nimemfunga sana mabao ya kichuya ( mkono) enzi zile nikiwa katibu mwenezi wa CHAPUTA.
Kiuno na nyonga vimechokaaa...no wonder hataki tena kuzaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…