Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Ni kweli kabisa. Watu hawakosagi maneno maana Priyanka alipenya hollywood kabla hata hajakutana na Nick.Nachokumbuka aliishi Marekani muda tu kabla ya kurudi India na Jina tayari alikuwa ashalipata Hollywood kupitia movies and series kama Quantico. Hata kama ingekuwa ni reason sahihi naona alifanya vizuri tu maana sioni kama kuna Bollywood actress ambaye yupo juu Hollywood kuliko yeye. Ipo sawa tu