Priyanka Chopra: Star mkubwa Indiana Hollywood afunguka kuhusu ndoa yake

Ni kweli kabisa. Watu hawakosagi maneno maana Priyanka alipenya hollywood kabla hata hajakutana na Nick.
 
Filamu ya fashion itabaki kuwa kazi yake bora kabisa huyu dada
 
Filamu ya fashion itabaki kuwa kazi yake bora kabisa huyu dada

Ile movie ina story kali haswa kwenye kuonesha ubovu wa maisha ya umaarufu na ndio kazi pekee ya Priyanka nishawahi kuiona ukitoa quantico series.
 
Duuh yaani kila nayempenda kaolewa....
 
tatizo wahindi hawana chura, acha niendelee kubaki kwa akina Cherokee tu mimi
 
Huu Uzi kabla ya kuufungua nilidhani aliyeuanzisha ni Geniveros kumbe sikuwa sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…