Mayala alikuwa Chadema na Lowasa walitegemea angebaki kule hakubaki ndio maana Wana hasira nayeKwamba pamoja na maandiko yake yenye akili yaliyoenda shule na ambayo huwa ni msaada mkubwa kwa serikali. Bado huwa hateuliwi.
Lakini cha ajabu member wengi wa JF ambao ni pro Chadema huwa wanamdhihaki na kumnyodoa . Why?
Mnataka nini?