Pro-Chadema mbona huwa mnafurahi na kumdhihaki Pascal Mayalla anapokosa uteuzi?

Kwamba pamoja na maandiko yake yenye akili yaliyoenda shule na ambayo huwa ni msaada mkubwa kwa serikali. Bado huwa hateuliwi.

Lakini cha ajabu member wengi wa JF ambao ni pro Chadema huwa wanamdhihaki na kumnyodoa . Why?

Mnataka nini?
Mayala alikuwa Chadema na Lowasa walitegemea angebaki kule hakubaki ndio maana Wana hasira naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…