Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

Uko sahihi mkuu nakuunga mkono
 
Hivi hawa single mothers wanajipaga mimba wenyewe????

Wengi tu humu nizao la hao single mothers, embu waacheni kama wewe huwezi kuoa wenzio wanawaoa.
Waoaji tupo... walamsikatishwe tamaa....
Mimba iliyoingia bila mwanaume ni moja tu.
Hao wanaotelekeza familia ndio wakwanza kuomba msaada kwa watoto wao wakiwa na mafanikioo....

"Shame on spam Donner"
 
1.Kwa kifupi dhamani yake hupungua.

2.Dhana kwamba alikuwa malaya hutamalaki.

3.Uchungu wa kugongewa na mzazi mwenzie

5.Hisia kwamba unakula kiporo

6.Fikra labda unalinganishwa na aliyemzalisha

7.Mzigo wa kulea mtoto si wako..hasa akiwa mtukutu

8.Ngumu kwenye utambulisho,hasa kwenu kina shangazi ....''lakini yule mtoto wa kwanza si damu yetu''.

9.Hofu ya kwamba hivi washkaji wananionaje?/na je kweli nimekosa kitu kipya..zaidi ya hili lapulapu?

10.Tisa kumi siku mkigombana....kama ujuavyo katika maisha lazima kuna siku zitakuwa za mifarakano...sasa hapa kama akiamua kufunguka'''.......''''.....na ukakumbuka kwamba unamlisha yeye na ki mbwa chake......hapa ni hatari sana ....kama huna kifua.........Wa kukunusuru ni MUNGU.
 
Kwani ma Single Mother wame jipangaje?

Kila siku wanazaliwa watoto wa kike wazuri bora usubirie uchukue sildi kwenye makaratasi yake

siku akikwambia anaenda kwa mama yake kijijini kumbe anaenda kwa mzazi wake kujikumbushia
 
jamani punguzeni hasira,single mom nao watu mjue...kutokujiamini tu mbona unaoa kabisa single mother na life linakuwa poa tu. inategemea umemkuta katika mazingira gani,lakini wanaoleka kabisa...hata mimi niimpata aliye poa,namaliza kabisa
 
Utaoaje lisingle mother wakati kuna mabint wabichi kabisa chuchu Saa 6 mchana .Ukiona kijana anaoa single mother ujue huyu kajikatia tamaa ya maisha
Na hii ndio inayowafanya mnaoa wanawake hata kama humpendi kwa sababu tu hajazaa na kubaki kuwa watumwa wa maisha. Suala ni kupendana whether ana mtoto au hana! Ma-thread kibao hapa wameoa wasio na watoto malawama kibao. Kwani kama hana mtoto je unafahamu ametembea na wanaume wangapi?!?! Huwezi kujua je hiyo haina athari vilevile?!?! kwa hiyo kama wewe binafsi hutaki basi usi- generalize!
 
ila kuoa single mother kwa karne hii inahitaji uwe na moyo mgumu kama wa Farao
 

''Anatoka labour room akiwa na mtoto asiye na baba'', hiyo mimba ilitungwa vipi?
 
Mwanamayu, mtoto hana baba kwasbb babake amesepa
 
Ntalea kwasababu kulea sio dhambi kuliko kutoa nikamuuz Muumba ili nifurahshe wanadamu
Sawa Dada,ckujua kama utakasirika,ila mim nakuheshimu pia nakufaham nje ya jamii forum
 
Kusema kweli tu kua single mother ni kukosea step ishu sio kuogopa majukumu wala nini ishu tu siwezi kuoa single mother labda na mm nikutwe na majanga ila hvhv hapana
Iiiish et ukutwe na majanga ndo uoe single mom kwamba single mom ndo wanahitaji majanga utayokutwa nayo au vp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…