Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

Uyo utakae muoa hazai et... Hyo rubber inaeza kua buti ukashangaa kila mtu na maumbile yake
Haiwezi kuwa buti yenyewe bila sababu
Hapo ni lazma alipita kidume chenye inch12 na upana inch 4hadi 6 ndio itakuwa buti
Maumbile ya awali ni bikra kama haikutumika litakuwaje buti?
Unavyotumika kulingana na kinachoingia sio yenyewe iwe jibuti ghafla
Bikra ukiingizia kidole rubber itapanuka kwa saizi ya kidole na ukiingiza mchi wa haja basi itafuata kilichoingia ndio maana tunaita rubber
Inatanuka kwa saizi
 
Mm nisingekusimanga ningeosha rungu tu
Huijui thamani ya mwanamke wewe, endelea kuwasuuza hao hao unaowasimanga,kuolewa ni Majaaliwa nilivyojaaliwa mimi sio wengine wote (wadogo zetu) watajaaliwa hivyo basi si vyema kuwanyanyasa kwa maneno na hisia wao pia ni watu wanaumia hebu wafichieni maumivu yao kama nasi tunavyojaribu kadri tuwezavyo kuyaficha yenu
 
Waache waendelee kutunuku watu
 
Chonde! Chonde! Akina dada.

Usiombe ukazaa kabla ya kuolewa ukawa single mother.

Ndoto zote za kuwa na mume wa ndoto yako hukoma siku utakapo toka labour ukiwa na mtoto asiye na baba.

Machaguo yote hukimbia hata uwe mzuri vipi. Utajiweka vizuri, utavaa vizuri na njiani utasimamishwa na wakaka watanashati lakini Mwanaume wa karne hii na awamu hii ya 5 ukimwambia tu nina mtoto basi ata-pretend kwa muda ili ale mzigo na baadaye atasepa.

Mdada mwenye mtoto anaishia kuolewa na mibaba iliyokula maisha mpk imechoka. Labda jibaba limefiwa na mkewe, ama limetengana na mkewe na lina watoto wakubwa kama ww. Badala ya kula maisha kwenye 6 kwa 6 unabaki kulilea tu. Unapotaka ku-DO nalo weka soda karibu maana hayakawii kushusha pressure.

Ukiwa na mtoto wanaume wa ndoto yako ndo basi tena. Daaah! [HASHTAG]#Sorry4[/HASHTAG] Single Mothers.
hii ukipiga antilogarithm mbona unapata probability kubwa tu
 
Huijui thamani ya mwanamke wewe, endelea kuwasuuza hao hao unaowasimanga,kuolewa ni Majaaliwa nilivyojaaliwa mimi sio wengine wote (wadogo zetu) watajaaliwa hivyo basi si vyema kuwanyanyasa kwa maneno na hisia wao pia ni watu wanaumia hebu wafichieni maumivu yao kama nasi tunavyojaribu kadri tuwezavyo kuyaficha yenu
Sasa mbona umebambikiza watt kama unajua thamani si ungemzalia wote mumeo
 
Sasa mbona umebambikiza watt kama unajua thamani si ungemzalia wote mumeo
Ni kwa sababu ya ujinga wenu wa kudhani kuoa aina Fulani ya wanawake ni Neema zaidi ya aina nyingine, badala ya kuomba Mungu nyie mnamkufuru Mungu, na mwenzio alikua hivyo hivyo!
 
Ni kwa sababu ya ujinga wenu wa kudhani kuoa aina Fulani ya wanawake ni Neema zaidi ya aina nyingine, badala ya kuomba Mungu nyie mnamkufuru Mungu, na mwenzio alikua hivyo hivyo!
Mumeo mjinga?!
 
Tuheshimu dada zetu ambao hawakuwaza kutoa mimba. Tuwapende "wajomba" zetu wasio na hatia.
 
Mtoa mada umenigusa mimi nimeachana na mchumba wangu, kwa sababu mimi niko masomoni Alianza kutoka na jamaa lingine, nimekuja kugundua baada ya mwaka mmoja kupita, najiandaa kwenda kwao kutoa mahari nakuta Binti ana mimba jamaa aliempa mimba nae kaishia mitini. Japo nilikuwa nampenda sana ila niliamua kumuacha ila alilia sana. Ila nilimuambia kwenye hii Dunia kupata Mme wa ndoto zako sio rahisi tena maana thamani yako ya kufanya choice umeiharibu mwenyewe.
 
Sasa mpk michepuko inakupiga mimba maana yake nn
Nimekwambia wewe kwa sababu hunijui sikujui na yeye hajui akiwacheki anawaona sawa sawa ila mimi ndio nnajua, na si mimi tu ila ukweli wa mtoto aujuae mama hata muwe na ndoa ya chuma
 
Nimekwambia wewe kwa sababu hunijui sikujui na yeye hajui akiwacheki anawaona sawa sawa ila mimi ndio nnajua, na si mimi tu ila ukweli wa mtoto aujuae mama hata muwe na ndoa ya chuma
Unapenda sn mpododo ww [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom