Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

Ila alietoa rubber yake si kama aliezaa mtoto kilo 5 huyu bado yadai kwa sisi vidume
Acha akili chafu hizo mdogo wangu, eti kwa nyie vidume ni bora aliyetoa mimba!! Labda kwa kua mmeshajidharau wenyewe kwa kujiita vidume badala ya Mwanaume, kwa maana Mwanaume aliyekamilika hawezi kumsifia mwanamke aliyetoa mimba
 
Ucha ushamba inaonekana unatoka kijijini mwanza nililinganisha rubber ya alietoa mimba na aliezaa mtoto sasa wewe mshamba unaona nasifia alietoa mimba
Sisi vidume tunapenda isiyopwaya wazee ndio wanapenda zilizozaaa
Kua mkubwa sio hoja
Hoja ni kuwa na akili ya kupambanua kilichozungumzwa lady
 
Huenda anaongea haya na yy n mwenyewe alishasababisha alaf akasepa . so yt hayo nikuamchia Mungu.
 
Ucha ushamba inaonekana unatoka kijijini mwanza nililinganisha rubber ya alietoa mimba na aliezaa mtoto sasa wewe mshamba unaona nasifia alietoa mimba
Sisi vidume tunapenda isiyopwaya wazee ndio wanapenda zilizozaaa
Kua mkubwa sio hoja
Hoja ni kuwa na akili ya kupambanua kilichozungumzwa lady
Si kila mshamba anatokea mwanza washamba wengine mnatokea katika akili za vijidume kama wewe, sisi watu watanga ukiona mwanaume anajiita kidume maana yake ni mwanaume mwenye kijidude kidogo kwaiyo lazima upwaye hata kwenye kijitundu cha pua
 
Maisha huwa yanabadilika sana, na hakuna mwanamke mwenye ndoto za kuwa single mamy. Kwa hiyo ikishatokea huna budi kukubaliana na hali
 
Si kila mshamba anatokea mwanza washamba wengine mnatokea katika akili za vijidume kama wewe, sisi watu watanga ukioma mwanaume anajiita kidume maana yake ni mwanaume mwenye kijidude kidogo kwaiyo lazima upwaye hata kwenye kijitundu cha pua
Mm ninautaalamu mwingine bila kutumia kidude ukijaribu utazimia kwa raha
Kidushe ni sehemu ndogo hata ikipwaya haina neno mbora mbegu zimepanda shambani

Ukitaka kujua ufundi wa ziada ni pm utafahamu
Usimwage kuku kwenye mtama
 
Nadhani mleta mada ume~exaggerate sana, hiyo probability ni ndogo mno, dunia ya sasa imebadilika. Kama mimi sijali kuoa binti mwenye mtoto, kuteleza kupo, kupata mimba kitu rahisi sana. Kama nampenda naoa tu, kua na mtoto haimaanishi ana tabia mbaya.

Na msiseme nalea mtoto wa mwanaume mwenzangu, so what? Kama dingi yake kamkimbia ntalea tu kama wa kwangu, tena ntajitambulusha kama mdingi kabisa, kwani napungukiwa nini, malezi ya mtoto hayanicost hata robo ya robo. Love is what makes family not blood, ingekua blood basi mke wako sio family.
Unajitambua mkuu nimekupenda buree... Una hekima na busara
 
Sidhani kama ana kosa kuzaa kabla ya ndoa, yote ni Mipango ya Mungu kwa vile alivyomjaalia
Acha kumuhusisha Mungu kwenye zinaa kwani Mungu aliamulu kuzaa kabla ya ndoa hyo ni dhambi uzinzi,ndyo maana zamani mtoto akizaliwa kabla ya ndoa ilihesabika ni nuksi ktk family
 
Real men like you are rare in this world. God bless you exceedingly dear. Uko na busara nyingi sana. Hawa wanaume wanaopiga kelele kutukana single mothers hawajui ya kesho yatakuwaje. Wanaweza wakazaa watoto wa kike watakaokuja kuwa single mothers mbeleni. Mungu anaona kila kitu, acha waendelee kuwahukumu single mothers.
Alf wanaopiga kelele mkuu hawana uhakika km hao baba ni wakuwazaa.... Usikute ni baba mwny hekma zake kavaa kiatu cha ubaba kumlea yy aliyetelekezwa na babake na kumuoa mamake aliekua sngo mom
 
Wengi hawapendi single mother ulijizalia hovyo ruber inachoka ndio waume wanakula na kukimbia
Wanaume wengi wanapenda mke ambae hajazaa kwa kuwa rubber haijachoka kupwaya
Mmmmh
 
Maisha huwa yanabadilika sana, na hakuna mwanamke mwenye ndoto za kuwa single mamy. Kwa hiyo ikishatokea huna budi kukubaliana na hali
Wengine tamaa zao za kupata maisha bora zinawaponza na kuzaa ktk umri mdogo
 
Acha kumuhusisha Mungu kwenye zinaa kwani Mungu aliamulu kuzaa kabla ya ndoa hyo ni dhambi uzinzi,ndyo maana zamani mtoto akizaliwa kabla ya ndoa ilihesabika ni nuksi ktk family
Mchawi Huomba Mungu na Mtakatifu huomba Mungu vile vile sisi wote ni waja wake, na anataka tumuangalie yeye kwa Mema na mabaya tufanyayo! We mwenzetu ukishazini unatubia kwa nani?
 
Mm ninautaalamu mwingine bila kutumia kidude ukijaribu utazimia kwa raha
Kidushe ni sehemu ndogo hata ikipwaya haina neno mbora mbegu zimepanda shambani

Ukitaka kujua ufundi wa ziada ni pm utafahamu
Usimwage kuku kwenye mtama
kwa bahati mbaya wanaume wenye viji ukucha kama chako hawana nafasi kwangu,
Acha kumuhusisha Mungu kwenye zinaa kwani Mungu aliamulu kuzaa kabla ya ndoa hyo ni dhambi uzinzi,ndyo maana zamani mtoto akizaliwa kabla ya ndoa ilihesabika ni nuksi ktk family
 
Ucha ushamba inaonekana unatoka kijijini mwanza nililinganisha rubber ya alietoa mimba na aliezaa mtoto sasa wewe mshamba unaona nasifia alietoa mimba
Sisi vidume tunapenda isiyopwaya wazee ndio wanapenda zilizozaaa
Kua mkubwa sio hoja
Hoja ni kuwa na akili ya kupambanua kilichozungumzwa lady
Uyo utakae muoa hazai et... Hyo rubber inaeza kua buti ukashangaa kila mtu na maumbile yake
 
hii ni nyuzi za kidhlilisha dada zetu, sio kila dada aliyezaa nje ya ndoa kazaa kwa mapanzi yake, some they lack family security plus other factors...

mods, ondoeni huu udhalilishaji humu
 
Ushauri wangu kwa akina dada:
1. Usibebe mimba ukitegemea ndio tiketi ya ndoa, kizazi hiki ni cha ajabu utapata shida.
2.Jikinge sana na mimba kabla ya ndoa, ila ikitokea (siamini kuna mimba ya bahati mbaya) zaa tu mtoto ni baraka.
 
Back
Top Bottom