[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Humu jamii forum raha sanaAnaweza kuolewa kama atatulia na anaweza kukutana na mkongwe mwezie aliyeshindikana kama yeye ila asije akaweka mbele maharusi ya kupigiwa matarumbeta eti ! anamerere me!! wakati mmeremeto ulishakwisha. Avumilie tuu kwa kuwa alishaaribu avutwe kienyeji basi aendeleze maisha.