Nadhani mleta mada ume~exaggerate sana, hiyo probability ni ndogo mno, dunia ya sasa imebadilika. Kama mimi sijali kuoa binti mwenye mtoto, kuteleza kupo, kupata mimba kitu rahisi sana. Kama nampenda naoa tu, kua na mtoto haimaanishi ana tabia mbaya.
Na msiseme nalea mtoto wa mwanaume mwenzangu, so what? Kama dingi yake kamkimbia ntalea tu kama wa kwangu, tena ntajitambulusha kama mdingi kabisa, kwani napungukiwa nini, malezi ya mtoto hayanicost hata robo ya robo. Love is what makes family not blood, ingekua blood basi mke wako sio family.