Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

tena wakae mbali nasi sababu kutoa kumbe kinachoweza nipenda maisha yangu yote kwa ajili ya mwanume ambaye baada ya ndoa sielewe he just fuuck other women around me never never never and never
Well said dear,mwanaume ni rafiki tu muda wowote anaweza kukugeuka but mtoto hawez haijalishi unapita kwenye magumu gani atasimama nawe.
 
Wanaolewa tena vizuri kabisa na kwa ndoa za kanisani/msikitini mimi nilizaa na wadada wawili nawote kwa sasa wapo kwenyendoa zao tusiwakatishe tamaa
Lakini wewe utabaki kuwa mwiba kwenye ndoa zao. Yaani wanakosa ile total surrender, na mara nyingi wanatakiwa wawe makini kwenye kila kitu wanachosema au kukifanya ili wasije leta hali yoyote ya mashaka kuhusiana na mahusiano yenu yaliopita. Na mara nyingi wewe na watoto wako ndio mtakuwa chanzo cha migogoro na hata kuvunjika kwa ndoa zao. Yaani salama yao ni wewe utakapokufa.
 
Mtoa mada upo sahihi. Hii imewahi kunikuta mimi mwenyewe. Kuna mdada nilikutana nae na siku hiyo hiyo alisema, "Mimi nina mtoto"....Basi hapo hapo nilikata stimu na nikaweka mishe moja tu - Kumgonga na kumpiga chini.
 
Me nawashauri wadada wenzangu kama ww ni singo mama na unapenda kuolewa usikatishwe tamaa na maneno ya humu ndani waoaji wapo wengi ni ww tu mwenyewe jishughulishe usikae tu kuhuzunika chapa kazi ulee mwanao huyo mwanaume akija ana upendo wa kweli asikukute umezubaa na kama kweli umeamua kuolewa sahau kuhusu huyo mjinga aliekutenda.
Hakuna mwanaume atakupenda wakati anaona bado unahisia na aliekuzalisha kama mtu alikuumiza wa nini tena huyo tupa kule songa mbele maana wengine mnawalea wanakuja kuzalisha afu wanatoka mbio tena inauma kwakweli maana dharau inazidi lazima mtu ujue nini unataka na usimamie malengo
maamuzi mengine magumu lakini inabidi kuyachukua tu usimpende mtu kupitiliza hata anakuumiza upo tu anakuja una mahusiano mengine bado unarudi tena unashika huku na huku nani atakunywa huo ujinga?tubadilike jaman
 

[emoji87]...Tangu waolewe sijawahi nasintakaa nijaribu kuingilia mahusiano yao ya ndoa kwani kwakufanya hivyo nitakua nimewaharibia ndoa nakwaupande mwingine namimi pia ndoa yangu itajikuta kwenyemisukosuko kwani itaonyesha kuwa bado ninamahusiano nahivyo kuniharibia uaminifu kwa mke wangu.
 
Inawezekana mtoa mada kaiwakilisha mada vibaya. Ila kuoa/kuolewa na mtu mwenye mtoto kuna complications zake. Kunakuwa na ki Bermuda triangle fulani, angle moja wife,angle ingine mtoto na baba yake na mwisho angle yako wewe. Ni ngumu kukata connection ya mkeo na baba wa mtoto wake.
 
Imenichoma....hapa tu nina ujauzito wa miez minne...mwenyenao ashaniruka...nalia na dunia...I alwez wanted to have a family....kazi sina pesa sina....mama tu ndo msaada wangu....wadada tuwe makini sana...for me its too late for regrates...ndo kwanza am 24
 
Will my baby face all this??[emoji17] [emoji17] [emoji17] ....better niwe msomi nisiolewe
 
umenipa courage.....dah
 
hapo we nimekuelewa yani connection ya mzazi mwenzio lazima italeta mushkeli kwenye mahusiano yenu .. hapo sasa hapo nitakufikiria
 
single mothers ni screpa siwezi oa mimi hao ni kwa ajili ya wanaume wenye mapungufu.
 
Hiii mada imesema ukweli kabisa lakini always you need kutafuta suluhisho
Nilishawahi kuwa coach wanawake wawili waliopata mkasa huu na wakafanikiwa kuolewa na vijana kama kawaida. Katika ndoa za namna hii ukiwa mkweli sana utapiga doro sana, so unalazimika kusema uongo ambao utakusaidia next time na hata kukubaliwa mtoto wa nje uliyezaa na jamaa lingine. Kama untaka techniques njooo inbox
 
Mh! Kipo unachotafuta kingine wala si ufumbuzi wa hili!
 

Usikate tamaa bibie. Maisha ndivyo yalivyo. Utajifungua salama na utaendelea vzr tu. Huyo mwache hakuwa wako, angekupa head ache tu maishani mwako. Kuanguka sio mwisho wa safari, nyanyuka kung'uta vumbi then move on with ur life. Ukijifungua hakikisha unatafuta shughuli ya kukuingizia kipato ili usiwe mzigo mzito kwa mama. Unahitaji kupambana kulea mwanao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…