Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,024
Kumbe nawe ni single mom dearkwa hiyo mlitaka tutoe mimba ili tupate mwanaume wa ndoto yangu na bado nimeua uje uniletee ufuska acha tuzae tu ... kama issue ni hiyo tuzae tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe nawe ni single mom dearkwa hiyo mlitaka tutoe mimba ili tupate mwanaume wa ndoto yangu na bado nimeua uje uniletee ufuska acha tuzae tu ... kama issue ni hiyo tuzae tu
Well said dear,mwanaume ni rafiki tu muda wowote anaweza kukugeuka but mtoto hawez haijalishi unapita kwenye magumu gani atasimama nawe.tena wakae mbali nasi sababu kutoa kumbe kinachoweza nipenda maisha yangu yote kwa ajili ya mwanume ambaye baada ya ndoa sielewe he just fuuck other women around me never never never and never
Kwani ambaye hajamzalisha hawezi kumuoa?Labda aolewe na alie mzalisha
Lakini wewe utabaki kuwa mwiba kwenye ndoa zao. Yaani wanakosa ile total surrender, na mara nyingi wanatakiwa wawe makini kwenye kila kitu wanachosema au kukifanya ili wasije leta hali yoyote ya mashaka kuhusiana na mahusiano yenu yaliopita. Na mara nyingi wewe na watoto wako ndio mtakuwa chanzo cha migogoro na hata kuvunjika kwa ndoa zao. Yaani salama yao ni wewe utakapokufa.Wanaolewa tena vizuri kabisa na kwa ndoa za kanisani/msikitini mimi nilizaa na wadada wawili nawote kwa sasa wapo kwenyendoa zao tusiwakatishe tamaa
KabisaWell said dear,mwanaume ni rafiki tu muda wowote anaweza kukugeuka but mtoto hawez haijalishi unapita kwenye magumu gani atasimama nawe.
Wenyewe tayar majanga ss mie kama nipo sawa ntafte nn kwaoIiiish et ukutwe na majanga ndo uoe single mom kwamba single mom ndo wanahitaji majanga utayokutwa nayo au vp
Lakini wewe utabaki kuwa mwiba kwenye ndoa zao. Yaani wanakosa ile total surrender, na mara nyingi wanatakiwa wawe makini kwenye kila kitu wanachosema au kukifanya ili wasije leta hali yoyote ya mashaka kuhusiana na mahusiano yenu yaliopita. Na mara nyingi wewe na watoto wako ndio mtakuwa chanzo cha migogoro na hata kuvunjika kwa ndoa zao. Yaani salama yao ni wewe utakapokufa.
Inawezekana mtoa mada kaiwakilisha mada vibaya. Ila kuoa/kuolewa na mtu mwenye mtoto kuna complications zake. Kunakuwa na ki Bermuda triangle fulani, angle moja wife,angle ingine mtoto na baba yake na mwisho angle yako wewe. Ni ngumu kukata connection ya mkeo na baba wa mtoto wake.Kabisa
Will my baby face all this??[emoji17] [emoji17] [emoji17] ....better niwe msomi nisioleweYaani mtoa post hata wakuponde lakn ukweli utabaki pale pale mwanamke alie zalia nyumbani ni asilimia ndogo sana ya kuolewa na kijana ambae haja pata mtoto,yaan ataolewa na wanaume wenye watoto Wakubwa na wengne kuishia kuliwa tu nan aanze kulea litoto la mtu mwisho wa siku baba yake anakuja kuchukua umemkuzia, labda huyo mwanamke awe anajiweza kiuchumi lakn kama ndyo hana hata kaz yeyote kaz kutegemea kuletewa masimango yatamkimbiza tu maana mwanaume akitoka huko amevulugwa akija home litoto linapiga kelele wala sio lake na yy akifikilia hana mtoto,kifuatacho ni kofi tu nenda kwa mama yako
umenipa courage.....dahHivi kwani mtu asipoolewa atakufa? Wanaume wenyewe nyie wachache afu mnategemea kila mtu awe na mwanaume wake ndo azae.
Wew ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lini.
Na nyie endeleeni kuoa wanawake wabichi wasio na watoto ila wametoa mimba mpala mayai yameisha sisi single mothers we are happy the way we are ndo maana tulichagua kuzaa hali na kujua tutapata shida kupata wenza wa maisha yetu ila kwa sisi UHAI wa kiumbe ni bora kuliko NDOA.
hapo we nimekuelewa yani connection ya mzazi mwenzio lazima italeta mushkeli kwenye mahusiano yenu .. hapo sasa hapo nitakufikiriaInawezekana mtoa mada kaiwakilisha mada vibaya. Ila kuoa/kuolewa na mtu mwenye mtoto kuna complications zake. Kunakuwa na ki Bermuda triangle fulani, angle moja wife,angle ingine mtoto na baba yake na mwisho angle yako wewe. Ni ngumu kukata connection ya mkeo na baba wa mtoto wake.
Mh! Kipo unachotafuta kingine wala si ufumbuzi wa hili!Hiii mada imesema ukweli kabisa lakini always you need kutafuta suluhisho
Nilishawahi kuwa coach wanawake wawili waliopata mkasa huu na wakafanikiwa kuolewa na vijana kama kawaida. Katika ndoa za namna hii ukiwa mkweli sana utapiga doro sana, so unalazimika kusema uongo ambao utakusaidia next time na hata kukubaliwa mtoto wa nje uliyezaa na jamaa lingine. Kama untaka techniques njooo inbox
Imenichoma....hapa tu nina ujauzito wa miez minne...mwenyenao ashaniruka...nalia na dunia...I alwez wanted to have a family....kazi sina pesa sina....mama tu ndo msaada wangu....wadada tuwe makini sana...for me its too late for regrates...ndo kwanza am 24