Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

Ila kwa kweli jamani tuache utani, mwanamke aliezaa sio liziki hata kidogo. Ukitaka kufa mapema oa mwanamke mwenye mtoto na kisha mzazi mwenzie awepo hai, ndoa yako itakuwa ni matatizo siku zote.

Sasa ili kuepuka adha hiyo ni heri utafute binti ambae hajazaa kisha maisha yenu yaanzie hapo na sio kubeba majukumu ambayo si ya lazima.

TUWAACHE WAOANE NA HAO HAO WALIOWAZALISHA MAANA NI UZEMBE WAO WENYEWE KWA KUSHINDWA KUJIDHIBITI KUZAA KABLA YA NDOA.

Na kwa uwamuzi huo hata Mungu hawezi kutulahumu maana si kosa letu bali ni lao na hao waliowazalisha.
 
Ndoa ni muhimu ndo maana ikawepo na ikabarikiwa.

Mwanamke huwezi kuwa salama kama huna ndoa.

Na isitoshe kauli hizi huwa ni za wanawake walio kata tamaa baada ya kujichanganya wenyewe na kujikuta wana watoto na hawako kwenye ndoa, lakini thamini ya ndoa itabakia pale pale. HABARI NDO HIYO!
 
The scary is the what? mhh! Damn the ground? No man, just see the nanihii because the mukulu is also have problem with the languaje.

Angalau na mimi nijifariji kuandika kingereza maana sio mchezo hii lugha.
hahahaaaaa
 
Usikariri ndugu huo utafiti wako sijui wa wapi.?me nimeolewa nikiwa singo mama tena nime someshwa kuanzia A level mpaka chuo na kijana tumefunga ndoa akiwa na miaka 32 tunapendana tuna heshimiana
sio kukariri ndio ukweli ww kama ulibahatika jua upo 1 katika 99! na sababu ya hilo zipo wazi wanawake ni wengi kuzidi wanaume na bado population ya wanaume wanaokuwa na familia ni ndogo kuliko wanawake wanaohitaji kuwa na familia
 
Mkuu nao maji huwa yanawafika shingoni unakuta msichana anavumilia mpaka ana miaka 27 hamna hata kijana anayemtokea,anachofanya anatengeneza mazingira ya kuzaa na yoyote ili apate mtoto
 
sio kukariri ndio ukweli ww kama ulibahatika jua upo 1 katika 99! na sababu ya hilo zipo wazi wanawake ni wengi kuzidi wanaume na bado population ya wanaume wanaokuwa na familia ni ndogo kuliko wanawake wanaohitaji kuwa na familia
Na hapo pia labda kaolewa ili mradi tu iwe hivo ila choice alishakosa
 
acheni kukariri ujinga hayo mambo yashapitwa kitambo, hakuna mtu anaplan kuwa singo parent na hata kama wapo ni wachache ila kuna mambo yanatokea hayawezi kuvumilika huwezi kuendelea kung'ang'ania vile eti society itakuona wa ajabu mnahisi na hao waloolewa bila watoto wote wameolewa na wanaume wa ndoto zao? kashabembeleza sana dream man wake haelekei mara unatokea wewe unaweza kuvumilika anakubali ndoa na anaweza kuwa sio singo mother ila km angekuwa wa kufanya kumbukumbu za watoto alotupa basi angefanya jan-dec
 
Si kweli nimeona wengi wanaolewa tena na vijana hiyo isiwe sababu
 
Litoto la mtu!!!! Kweli makosa ya Mama yanawathiri hadi watoto? Acheni mambo ya kijinga nyie. Mtoto awe wa ndani au wa nje ya ndoa wote ni watoto na wana haki sawa as long as wote wamepatikana kwa njia moja.
Hakuna sababu inayojustifie mtoto wa nje kuitwa litoto na wa ndani kuitwa mtoto.
Of course I am a single Mother, naumia kuona matukio yangu yanamgusa hadi mtoto. After all sikupenda kbs kuwa hv lkn kuna mambo yanatokea ambayo km mwanadamu hatuna control nayo. Japo nafurahi kuwa na mtoto, bado sijakata tamaa licha ya kwamba mmetubatiza majina ya kila Ain humu.

Tukumbuke kuwa binadamu tunapanga lkn mwamuzi wa yote ni Mungu. Ht nyie mnaojigamba humu siajabu kesho na kesho kutwa wake zenu wakawa single mothers.
 
Hizi ni kauli za mkosaji
 
Unajua kuna watoto wa kike wanakera ile mbaya wengne ni matatzo kweli lakn wengne chipsi ndyo zinawaponza na kua na tamaa ya pesa pia kutokuangalia ni mwanaume yupi anaefaa mwingne hata kwa muonekano kabsa hana wa kuishi na wewe ila kisa umemuona ana gari kumbe ameazma anakudanganya na kumuona flani anabaiskel ni mali yake unamuona choko unadata na miguu minee anakupiga mimba anasepa zake halafu mwenye baiskel unabaki kumuona anaendelea kueni makin sana,japo wengne ni bahati mbaya lakn vibint vya sasa too much watoto wawili upo kwenu baba tofauti mmmh inaboa kishenzi
 
Na hapo pia labda kaolewa ili mradi tu iwe hivo ila choice alishakosa
Wengi wao wanaolewa na Mario. Kwahiyo pamoja na kuolewa bado wana wajibu wa kutunza familia. Kwa maneno mengine wanahonga hao wanaume.
 
Nadhani mleta mada ume~exaggerate sana, hiyo probability ni ndogo mno, dunia ya sasa imebadilika. Kama mimi sijali kuoa binti mwenye mtoto, kuteleza kupo, kupata mimba kitu rahisi sana. Kama nampenda naoa tu, kua na mtoto haimaanishi ana tabia mbaya.

Na msiseme nalea mtoto wa mwanaume mwenzangu, so what? Kama dingi yake kamkimbia ntalea tu kama wa kwangu, tena ntajitambulusha kama mdingi kabisa, kwani napungukiwa nini, malezi ya mtoto hayanicost hata robo ya robo. Love is what makes family not blood, ingekua blood basi mke wako sio family.
 
Hivi hawa single mothers wanajipaga mimba wenyewe????

Wengi tu humu nizao la hao single mothers, embu waacheni kama wewe huwezi kuoa wenzio wanawaoa.
Single mother ataolewa na single farther
 
Sawa mkuu lkn basi nihukumu mm km mm, sio ufike hadi kwa mtoto. Kuna ulazima gani wa kuita litoto? Kosa la mtoto hapo ni nini? Kuweni na busara, msiwe mnaropoka tu Nyuma ya key board ukidhani mnafurahisha watu kumbe mnaumiza sana mioyo ya watu bila kujua.
Unadhani wote tulipenda kuwa hv? Kuna mambo mengi sana nyuma ya hili jambo, msiwe wakurupukaji tu otherwise mseme tuwaachie jukwaa.
 

Real men like you are rare in this world. God bless you exceedingly dear. Uko na busara nyingi sana. Hawa wanaume wanaopiga kelele kutukana single mothers hawajui ya kesho yatakuwaje. Wanaweza wakazaa watoto wa kike watakaokuja kuwa single mothers mbeleni. Mungu anaona kila kitu, acha waendelee kuwahukumu single mothers.
 

My dear huyo anayetukana single mother usikute naye ni mtoto wa haramu kalelewa na single mother. Pia huwez jua, maisha hayana kanuni. Huyu mleta mada namwombea aje azae mabinti na wao waje kuwa single mothers. Mjinga sana huyu mtoa mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…