Pi Network
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 290
- 319
Ila kwa kweli jamani tuache utani, mwanamke aliezaa sio liziki hata kidogo. Ukitaka kufa mapema oa mwanamke mwenye mtoto na kisha mzazi mwenzie awepo hai, ndoa yako itakuwa ni matatizo siku zote.
Sasa ili kuepuka adha hiyo ni heri utafute binti ambae hajazaa kisha maisha yenu yaanzie hapo na sio kubeba majukumu ambayo si ya lazima.
TUWAACHE WAOANE NA HAO HAO WALIOWAZALISHA MAANA NI UZEMBE WAO WENYEWE KWA KUSHINDWA KUJIDHIBITI KUZAA KABLA YA NDOA.
Na kwa uwamuzi huo hata Mungu hawezi kutulahumu maana si kosa letu bali ni lao na hao waliowazalisha.