Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

Ishu kuzalishwa kama umezalishwa labda ntaonja tu ila mipango ya kukuoa sahau
 
Jambo jema linafanywa mkiwa kwny ndoa...sasa ukifanya tendo nje ya ndoa linakuwa na utata ndio maana vijana wanasema posibility inakuwa 00000000.01
Linageuka baya kwa sababu limeleta matunda?
 
Kama vile mnacomplicate maisha………hakuna ujamaa tulifeli, sasa hivi ni ubepari tu. Mama yangu mzazi kanizaa kanilea kanikuza vizuri kanisomesha hadi sasa nina maisha yangu najitegemea na ninamsaidia, huyo unayemsifia sijui baba(mwanaume) hajui hata bei ya nepi nilivalishwa.
Shukuru Mungu umeoa/kuolewa na mnaishi vizuri na familia yako.
Wengine wameolewa/kuoa lakini ndoa zao kama kaa la moto, unazunguziaje hao? unapendekeza kila mtu aishi kama wewe?
Waache mama zetu, kila siku kuwasemasema mara oooh mara ooohh. Kama umekataliwa kula pini. Ni maisha yao, wanakula kwao, wanavaa wenyewe shida iko wapi.
 
Jamani singo maza mmoja atualike kwny harusi yake basi
 
Na ratio ya wanaume wenye ndoa kulea watoto wa michepuko ya wake zao inaongezeka kila siku, sasa wewe waache wapambane na single mother huku wake zao wakiluka ukuta na kujipatia mimba ambazo wanazifanya kuwa za waume zao
 
Mim akinidanganya nikajua ni singlemother namuacha
 
Bikira itolewe na mwingne na kuzaa uzae na mwingne halafu nikuoe mim sina hata mtoto mmh utakua umenipunja labda utoe wew posa
 
Huyo mwanamke ana matatizo ya akili, au kuna mtu nyuma anampa pasipo wewe kujua kwaiyo kwako anatafuta heshima tu
Hilo lipo na limeshanitoka, mm nilikuwa hit and run lakini alining'ang'ania balaa huku akijua kuwa ni mme wa mtu, pia kuna jamaa namfaham yy aligharamiwa kila kitu jamaa kaolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…