Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

inawezekana pia wadada single wapo ila hawastahili kuanza maisha na wewe! Usim judge mtu kwa kigezo cha udhaifu wake,udhaifu wa kuwa single mother hauondoi ukamilifu wa kuwa mke bora kwako kuliko yule aliye single, after all kwa Dunia ya sasa kumpata mwanamke single ni nadra sana wengi wameachika kwenye mahusiano ya nyuma ndipo ukamuokota wewe na kumuita single
Ishu kuzalishwa kama umezalishwa labda ntaonja tu ila mipango ya kukuoa sahau
 
Jambo jema linafanywa mkiwa kwny ndoa...sasa ukifanya tendo nje ya ndoa linakuwa na utata ndio maana vijana wanasema posibility inakuwa 00000000.01
Linageuka baya kwa sababu limeleta matunda?
 
Kama vile mnacomplicate maisha………hakuna ujamaa tulifeli, sasa hivi ni ubepari tu. Mama yangu mzazi kanizaa kanilea kanikuza vizuri kanisomesha hadi sasa nina maisha yangu najitegemea na ninamsaidia, huyo unayemsifia sijui baba(mwanaume) hajui hata bei ya nepi nilivalishwa.
Shukuru Mungu umeoa/kuolewa na mnaishi vizuri na familia yako.
Wengine wameolewa/kuoa lakini ndoa zao kama kaa la moto, unazunguziaje hao? unapendekeza kila mtu aishi kama wewe?
Waache mama zetu, kila siku kuwasemasema mara oooh mara ooohh. Kama umekataliwa kula pini. Ni maisha yao, wanakula kwao, wanavaa wenyewe shida iko wapi.
 
Jamani singo maza mmoja atualike kwny harusi yake basi
 
Litoto la mtu!!!! Kweli makosa ya Mama yanawathiri hadi watoto? Acheni mambo ya kijinga nyie. Mtoto awe wa ndani au wa nje ya ndoa wote ni watoto na wana haki sawa as long as wote wamepatikana kwa njia moja.
Hakuna sababu inayojustifie mtoto wa nje kuitwa litoto na wa ndani kuitwa mtoto.
Of course I am a single Mother, naumia kuona matukio yangu yanamgusa hadi mtoto. After all sikupenda kbs kuwa hv lkn kuna mambo yanatokea ambayo km mwanadamu hatuna control nayo. Japo nafurahi kuwa na mtoto, bado sijakata tamaa licha ya kwamba mmetubatiza majina ya kila Ain humu.

Tukumbuke kuwa binadamu tunapanga lkn mwamuzi wa yote ni Mungu. Ht nyie mnaojigamba humu siajabu kesho na kesho kutwa wake zenu wakawa single mothers.
Na ratio ya wanaume wenye ndoa kulea watoto wa michepuko ya wake zao inaongezeka kila siku, sasa wewe waache wapambane na single mother huku wake zao wakiluka ukuta na kujipatia mimba ambazo wanazifanya kuwa za waume zao
 
Hongera zenu nyie mliooa na mnaooa wanawake wabichi! Iila hiyo haimaanishi kutakua na amani na furaha kwenye ndoa... Kila siku ndoa zinavunjika na michepuko inaongezeka. Wengi hamjui kupenda ndo mana hili swala linawasumbua sana. Kwa taarifa yenu kuna wanawake kibao wana watoto kisirisiri! So we danganyika kua hujaoa singo mother! Labda kama umeoa bikra!
Mim akinidanganya nikajua ni singlemother namuacha
 
Bikira itolewe na mwingne na kuzaa uzae na mwingne halafu nikuoe mim sina hata mtoto mmh utakua umenipunja labda utoe wew posa
 
Huyo mwanamke ana matatizo ya akili, au kuna mtu nyuma anampa pasipo wewe kujua kwaiyo kwako anatafuta heshima tu
Hilo lipo na limeshanitoka, mm nilikuwa hit and run lakini alining'ang'ania balaa huku akijua kuwa ni mme wa mtu, pia kuna jamaa namfaham yy aligharamiwa kila kitu jamaa kaolewa.
 
Back
Top Bottom