Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

Mkosaji kwa kigezo kipi? Kwa umri wangu nina nafasi bado ya kuolewa halafu mkumbuke wanaume wa Jf ninyi sio Mungu kwamba mnataka kila kitu kitokee vile mnakiona. Kila kitu kinatokea kwa sababu. Acha wale wanawake wanaachwa na waume zao wa ndoa wakaachwa na mtoto au watoto kuna type yangu sisi tunaobeba mimba bila kutarajia umewaza kwamba tulikua na uwezo wa kutoa ila tukaamua kulea mimba bila kuogopa jamii itasema nini? Nyie wanaume wa huku maneno yenu sio sheria yaani ongeeni ila mjue single mothers kibao wanaolewa labda kamaa dada ako hajaolewa asubirie muda wake haujafika.
Jitahidi kutafuta. Ila nimependa kwamba unaona nafasi ya ndoa kwenye maisha ya mwanadamu. Maana humu wengine wanasema ndoa ya nini na hali wanaitamani. Mimi hapo ugomvi wangu ndo ulipo wa kuponda ndoa kwasababu labda ulizaa na unaishi peke yako.
 
Chonde! Chonde! Akina dada. Usiombe ukazaa kabla ya kuolewa ukawa single mother.

Ndoto zote za kuwa na mume wa ndoto yako hukoma siku utakapo toka labour ukiwa na mtoto asiye na baba.

Machaguo yote hukimbia hata uwe mzuri vipi. Utajiweka vzr, utavaa vzr na njiani utasimamishwa na wakaka watana shati LKN mwanaume wa karne hii na awamu hii ya 5 ukimwambia tu nina mtoto basi ata-pretend kwa muda ili ale mzigo na baadaye atasepa.

Mdada mwenye mtoto anaishia kuolewa na mibaba iliyokula maisha mpk imechoka. Labda jibaba limefiwa na mkewe, ama limetengana na mkewe na lina watoto wakubwa kama ww. Badala ya kula maisha kwenye 6 kwa 6 unabaki kulilea tu. Unapotaka ku-DO nalo weka soda karibu maana hayakawii kushusha pressure.

Ukiwa na mtoto wanaume wa ndoto yako ndo basi tena. Daaah! [HASHTAG]#Sorry4[/HASHTAG] Single Mothers.
vipi wewe umeolewa?
 
Usifikiri kila mwanamke ana akili kama yako, mwanamke asipokua mama yako atakua Dada yako , shangazi yako au mwanao -Muheshimu mpe heshima yake sio matusi
Kwani kusema ukweli ni kutomheshimu mtu?!
 
Halafu kisichoridhiki hakiliki nyie nyie fresh mna watoto tena wakubwa hatuwacemi ila mnajidai eti ctaki aliyezaa mmmmmh jpangeni maana nyie wenyewe ni baba sehemu flani kisa tu hambebi mimba na la sivyo mmeloweka saaaaaana
 
Yan wakaka baana kujiona wao ndo kila kitu anaolewa mtu na watoto wa2 au wa3 sembuse mmoja afu kaa ukijua kila kitu n mipango ya Mungu binadam kaz yao n kuongea afu hamnaga mtoto acye na baba... Wote wana baba zao labda wew ndo huna.! Kiaz wee
Yaani mtu akuzalishe huko akuache uje uniangushie mimi jumba bovu? tatizo ni kwamba kama ulikubali kuzaa inamaanisha huyo mwanaume ulikuwa unampenda kweli so am just a second choice muda wowote akiamua kukucontol ataweza... poleni sna single mothers
 
Ila vijana wa kiume wa Jf mna shida sana. Mko tayari muoe mwanamke alietoa mimba ambae hata hujui unavyomuoa kama mayai bado yapo au la sababu tu hana mtoto.
Nina rafiki angu ana miaka 29 ameshatoa mimba mpaka mwenyewe anajionea huruma lakini ukimuuliza kwanin huzai unaharibu kizazi anasema anasubiri kuzaa ndani ya ndoa. Sasa vijana wa humu mkipata mwanamke kama huyo na alivyo mzuri amesoma anafanya kazi anaishi kwake mnajua mmeokota dodo.
Halafu mkumbuke wakati mwingine kwenye maisha hatufanyi vitu kumfurahisha mtu yeyote bali moyo wako umetaka nini. Hivi kweli mtu ana 24 yrs kazaa mwanae anajua kila kitu leo wew mwanaume wa Jf ndo ujione maneno yako ni mapya kwamba hataolewa. Kama ndoa ipo ipo tu. Tena utakuta wew uliejificha nyuma ya keybord ndo utakuja muoa huyo huyp single mom. Msipende kuingia kazi ya Mungu kwa kuhukumu vitu ambavyo hujui kesho wew utakutwa na situation ipi na utajikuta unamuoa huyo huyo single mom.
 
Unataka kuolewa bibie?!
 
Kwahiyo kuchepuka ndio solution?!
Nyie endeleeni kujidanganya kuwa single mother ndio wanawake wabaya kuolewa, ukiujua ukweli hutopayuka kwa kulopoka....kanywe chai alafu urudi tuendelee
 
Najiuliza akili mwangu kama single mothers wanabaguliwa hivi. Hali ipoje kwa wenzetu walemavu na albinos. Kwani maana ya ndoa ni nini?
Albino hana tatzo hata mlemavu hana tatzo kibaya ni kuzaa kabla ya ndoa kwanza hata family yenu umeidhalilisha kama wew ni first born umewafungulia njia mbaya wenzio wa kike ni full kuongeza mizigo nyumbani
 
Nyie endeleeni kujidanganya kuwa single mother ndio wanawake wabaya kuolewa, ukiujua ukweli hutopayuka kwa kulopoka....kanywe chai alafu urudi tuendelee
Hajasema single mother wanawake wabaya kuolewa kasema ukishakuwa single mother ndoa inakuwa ngumu...na ndio ukweli wanaume wengi sn hawapendi kuoa mwanamke mwenye mtt na mtu mwingine
 
Ukweli au ni ubinafsi wenu tu umejaa?
Sasa ubinafsi upi jaman na we unaona haki kbsa ushazalishwa na dume lingine halaf uende ukampe shida kijana wa watu aliekua anajitunza kwa nn usiende kwa mwenye watoto mwenzio
 
Back
Top Bottom