- Thread starter
- #361
Single mama msinichukie. Sikuwa na lengo la kuwadhalilisha ama kuwanyamyapaa ama kuwakatisha tamaa, bali nimesema kweli tupu kweli toka jamii ya wanaume waoaji.
Wengi hawapendi na hawataki kuoa mke mwenye mtoto hata kama yeye mwanaume ana mtoto. Wanawaza mbali sana wanaume. Hebu fikiria mwanao anaumwa na amezidiwa usiku halafu mwanaume akiwa amechoshwa na mihangaiko unamuamsha mumpeleke mtoto hospitali. Mnatoka Nakapanya kwenda hosp Mtwara, ama mnatoka Mafia mnaenda Muhimbili Dar, au mnatoka Ukerewe kwena Bugando. Aisee Inamuuma Sana Mwanaume Kama Mtoto Siyo Wake.