Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

Single mama msinichukie. Sikuwa na lengo la kuwadhalilisha ama kuwanyamyapaa ama kuwakatisha tamaa, bali nimesema kweli tupu kweli toka jamii ya wanaume waoaji.

Wengi hawapendi na hawataki kuoa mke mwenye mtoto hata kama yeye mwanaume ana mtoto. Wanawaza mbali sana wanaume. Hebu fikiria mwanao anaumwa na amezidiwa usiku halafu mwanaume akiwa amechoshwa na mihangaiko unamuamsha mumpeleke mtoto hospitali. Mnatoka Nakapanya kwenda hosp Mtwara, ama mnatoka Mafia mnaenda Muhimbili Dar, au mnatoka Ukerewe kwena Bugando. Aisee Inamuuma Sana Mwanaume Kama Mtoto Siyo Wake.
 
"Kama naiona michambo ya mademu wa zamani niliowapitiaga, mnayosema yana maana hakuna anaejua kesho"
Simanishi hivyo mnavyofikiria.
 
Single mama msinichukie. Sikuwa na lengo la kuwadhalilisha ama kuwanyamyapaa ama kuwakatisha tamaa, bali nimesema kweli tupu kweli toka jamii ya wanaume waoaji.

Wengi hawapendi na hawataki kuoa mke mwenye mtoto hata kama yeye mwanaume ana mtoto. Wanawaza mbali sana wanaume. Hebu fikiria mwanao anaumwa na amezidiwa usiku halafu mwanaume akiwa amechoshwa na mihangaiko unamuamsha mumpeleke mtoto hospitali. Mnatoka Nakapanya kwenda hosp Mtwara, ama mnatoka Mafia mnaenda Muhimbili Dar, au mnatoka Ukerewe kwena Bugando. Aisee Inamuuma Sana Mwanaume Kama Mtoto Siyo Wake.
Nimecheka sana
Hiyo.mifano
 
ukweli upo apo, ila haya mambo ni vice versa kwa alie zalishwa na asie zalishwa iv sasa, cha kufanya ni kumu omba tu sana m/mung ajaalie kheri na aman ya maisha kwa ujumla"
 
Imenichoma....hapa tu nina ujauzito wa miez minne...mwenyenao ashaniruka...nalia na dunia...I alwez wanted to have a family....kazi sina pesa sina....mama tu ndo msaada wangu....wadada tuwe makini sana...for me its too late for regrates...ndo kwanza am 24
Pole sana dada,but usijiweke tu tafuta namna ujishughulishe sababu huwezi mtegemea mom kwa kila kitu ukizingatia mtoto yuko njian anakuja nae atahitaji matunzo pia
 
Single mama msinichukie. Sikuwa na lengo la kuwadhalilisha ama kuwanyamyapaa ama kuwakatisha tamaa, bali nimesema kweli tupu kweli toka jamii ya wanaume waoaji.

Wengi hawapendi na hawataki kuoa mke mwenye mtoto hata kama yeye mwanaume ana mtoto. Wanawaza mbali sana wanaume. Hebu fikiria mwanao anaumwa na amezidiwa usiku halafu mwanaume akiwa amechoshwa na mihangaiko unamuamsha mumpeleke mtoto hospitali. Mnatoka Nakapanya kwenda hosp Mtwara, ama mnatoka Mafia mnaenda Muhimbili Dar, au mnatoka Ukerewe kwena Bugando. Aisee Inamuuma Sana Mwanaume Kama Mtoto Siyo Wake.
Hiyo itamuuma mwanaume ambae ni mbinafsi na mwanaume wa hivo ujue hawezi toa msaada kwa mtu ambaye hamuhusu means hata ikitokea mtu amepata matatizo njiani yeye atampita tu
 
Hivi hawa single mothers wanajipaga mimba wenyewe????

Wengi tu humu nizao la hao single mothers, embu waacheni kama wewe huwezi kuoa wenzio wanawaoa.

na hili ndio tatizo la jamii yetu...kitu kikifanywa na ndugu basi all of a sudden sio kosa. sasa kama mtu kazaliwa na single mum haimaanishi hawezi kosoa kosa la mama yake kumzaa nje ya ndoa bwana. tusipindishe mambo kuzaa na kugegeda/gegedwa nkabla ya ndoa ni kosa haijalisha amefanya baba yako mama yako au ndugu yoyote yule.

alafu wewe mwanaume mwengine kagegeda alfu akaacha wewe na kihere here chako wataka kumchukua wa nini.
 
Single mama msinichukie. Sikuwa na lengo la kuwadhalilisha ama kuwanyamyapaa ama kuwakatisha tamaa, bali nimesema kweli tupu kweli toka jamii ya wanaume waoaji.

Wengi hawapendi na hawataki kuoa mke mwenye mtoto hata kama yeye mwanaume ana mtoto. Wanawaza mbali sana wanaume. Hebu fikiria mwanao anaumwa na amezidiwa usiku halafu mwanaume akiwa amechoshwa na mihangaiko unamuamsha mumpeleke mtoto hospitali. Mnatoka Nakapanya kwenda hosp Mtwara, ama mnatoka Mafia mnaenda Muhimbili Dar, au mnatoka Ukerewe kwena Bugando. Aisee Inamuuma Sana Mwanaume Kama Mtoto Siyo Wake.
ndoa ni zaidi ya ngono ndugu,wivu umekujaa,inaonesha hujakomaa bichwa
 
na hili ndio tatizo la jamii yetu...kitu kikifanywa na ndugu basi all of a sudden sio kosa. sasa kama mtu kazaliwa na single mum haimaanishi hawezi kosoa kosa la mama yake kumzaa nje ya ndoa bwana. tusipindishe mambo kuzaa na kugegeda/gegedwa nkabla ya ndoa ni kosa haijalisha amefanya baba yako mama yako au ndugu yoyote yule.

alafu wewe mwanaume mwengine kagegeda alfu akaacha wewe na kihere here chako wataka kumchukua wa nini.
utoto unakusumbua,ndoa unadhan ni kugegeda tu,haya tafutaga bikira
 
Single mama msinichukie. Sikuwa na lengo la kuwadhalilisha ama kuwanyamyapaa ama kuwakatisha tamaa, bali nimesema kweli tupu kweli toka jamii ya wanaume waoaji.

Wengi hawapendi na hawataki kuoa mke mwenye mtoto hata kama yeye mwanaume ana mtoto. Wanawaza mbali sana wanaume. Hebu fikiria mwanao anaumwa na amezidiwa usiku halafu mwanaume akiwa amechoshwa na mihangaiko unamuamsha mumpeleke mtoto hospitali. Mnatoka Nakapanya kwenda hosp Mtwara, ama mnatoka Mafia mnaenda Muhimbili Dar, au mnatoka Ukerewe kwena Bugando. Aisee Inamuuma Sana Mwanaume Kama Mtoto Siyo Wake.
Huo ni uchoyo, ina maana kusaidia mtu hadi awe anakuhusu khaaa.
 
Chonde! Chonde! Akina dada.

Usiombe ukazaa kabla ya kuolewa ukawa single mother.

Ndoto zote za kuwa na mume wa ndoto yako hukoma siku utakapo toka labour ukiwa na mtoto asiye na baba.

Machaguo yote hukimbia hata uwe mzuri vipi. Utajiweka vizuri, utavaa vizuri na njiani utasimamishwa na wakaka watanashati lakini Mwanaume wa karne hii na awamu hii ya 5 ukimwambia tu nina mtoto basi ata-pretend kwa muda ili ale mzigo na baadaye atasepa.

Mdada mwenye mtoto anaishia kuolewa na mibaba iliyokula maisha mpk imechoka. Labda jibaba limefiwa na mkewe, ama limetengana na mkewe na lina watoto wakubwa kama ww. Badala ya kula maisha kwenye 6 kwa 6 unabaki kulilea tu. Unapotaka ku-DO nalo weka soda karibu maana hayakawii kushusha pressure.

Ukiwa na mtoto wanaume wa ndoto yako ndo basi tena. Daaah! [HASHTAG]#Sorry4[/HASHTAG] Single Mothers.
Uongo mtupu! Fanya tafiti kwanza. Wasichana wangapi wapo mitaani hawajaolewa? Na niwavulana wangapi hawajaoa kisa wanaogopa majukumu.
 
Tatizo lao kubwa lingine baada yakuzalishwa wanataka waonekane ni ma brand new kama zaman k2 ambacho hakiingii akilini kabisa kwa kijana wa kileo.
 
Hivi kwani mtu asipoolewa atakufa? Wanaume wenyewe nyie wachache afu mnategemea kila mtu awe na mwanaume wake ndo azae.
Wew ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lini.
Na nyie endeleeni kuoa wanawake wabichi wasio na watoto ila wametoa mimba mpala mayai yameisha sisi single mothers we are happy the way we are ndo maana tulichagua kuzaa hali na kujua tutapata shida kupata wenza wa maisha yetu ila kwa sisi UHAI wa kiumbe ni bora kuliko NDOA.
 
Hao wanaosema watakipata lini mi nadhan wanataka kufanya utafit kwamba je wanaradha gani baada ya kuzalishwa.....lakin c kwa kuwaoa na kama ni kwakuwaoa bsi type hyo ya wanaume ni wazee
 
Back
Top Bottom