mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mi nawashangaa hawa vijana wakati wanafanya kazi matumizi yao makubwa ni starehe hawakumbuki kuwekaza ila wakiumwa wanatukumbuka sisi wala ugali na mlenda tuwachangie ile ndogo tuliyonayo khaaaa[emoji53][emoji53]
Mi binafsi sitakuja kuchanga hela yangu kwa ajili ya matibabu kwa mtu yoyote maarufu[emoji41][emoji41]
Mi namuombea uponyaji tu hilo la helaa nehiiii
NHIF wanatoa Bima bei nzuri tu
Ombeni michango ya kumkatia bima ya afya akatibiwe ! . tatizo nyie wasanii mnatia huruma mkiwa na shida tu mkiwa na afya zenu mnakua bize kusuka nywele .. ukiwa na mmalaya wako mwenye makkalio makubwa basi unasahau kuwa kuna kuumwa na kufa !!..
Kwa hiyo ukienda kukata bima wanakupima kama huna tatizo la kiafya! Mbona watu wengi wana katiwa bima wakiwa vitandani.Bima hakatiwi mtu ambaye ni mgonjwa bali anakatiwa mtu ambaye bado hajaanza kuumwa unless ufanyike mchezo.
Ndiyo maana huwezi kata bima ya gari ili ulipwe wakati tayari gari lishapata ajali
huyu luffa ndio alifanya ngoma za Cp wa parllane na kuna kipindi alifanya ngoma na jokate au nimechanganya?Wakuu habari zenu
Kuna tetesi producer luffa anaumwa sana ila wanaficha ficha vipi kinamsibu nini
Namkubali sana chalii
Kuna kipindi waliomba msaada Instagram kwenye account jina nimesahau kidogo ila hiyo post ilifutwa ni kama vile wanaficha ugonjwa
Mimi kama shabiki yake nambari uno ningependa kujua nini kinamsibu maana ugonjwa haufichwi pengine naweza kumsaidia. Kwa namna moja ama nyingine
Hapo unaongelea watu wawili tofauti bro.huyu luffa ndio alifanya ngoma za Cp wa parllane na kuna kipindi alifanya ngoma na jokate au nimechanganya?