Producer Luffa Anaumwa.

Producer Luffa Anaumwa.

Uprodyuza hauna hela mkuu.
Na isitoshe mbona ruge alichangiwa na kusifiwa kote kule kuwa ni tajiri?
Mi nawashangaa hawa vijana wakati wanafanya kazi matumizi yao makubwa ni starehe hawakumbuki kuwekaza ila wakiumwa wanatukumbuka sisi wala ugali na mlenda tuwachangie ile ndogo tuliyonayo khaaaa[emoji53][emoji53]
Mi binafsi sitakuja kuchanga hela yangu kwa ajili ya matibabu kwa mtu yoyote maarufu[emoji41][emoji41]
Mi namuombea uponyaji tu hilo la helaa nehiiii
 
Bima hakatiwi mtu ambaye ni mgonjwa bali anakatiwa mtu ambaye bado hajaanza kuumwa unless ufanyike mchezo.
Ndiyo maana huwezi kata bima ya gari ili ulipwe wakati tayari gari lishapata ajali
Ombeni michango ya kumkatia bima ya afya akatibiwe ! . tatizo nyie wasanii mnatia huruma mkiwa na shida tu mkiwa na afya zenu mnakua bize kusuka nywele .. ukiwa na mmalaya wako mwenye makkalio makubwa basi unasahau kuwa kuna kuumwa na kufa !!..
 
Bima hakatiwi mtu ambaye ni mgonjwa bali anakatiwa mtu ambaye bado hajaanza kuumwa unless ufanyike mchezo.
Ndiyo maana huwezi kata bima ya gari ili ulipwe wakati tayari gari lishapata ajali
Kwa hiyo ukienda kukata bima wanakupima kama huna tatizo la kiafya! Mbona watu wengi wana katiwa bima wakiwa vitandani.
 
Wakuu habari zenu
Kuna tetesi producer luffa anaumwa sana ila wanaficha ficha vipi kinamsibu nini
Namkubali sana chalii

Kuna kipindi waliomba msaada Instagram kwenye account jina nimesahau kidogo ila hiyo post ilifutwa ni kama vile wanaficha ugonjwa

Mimi kama shabiki yake nambari uno ningependa kujua nini kinamsibu maana ugonjwa haufichwi pengine naweza kumsaidia. Kwa namna moja ama nyingine
 
huyu luffa ndio alifanya ngoma za Cp wa parllane na kuna kipindi alifanya ngoma na jokate au nimechanganya?
 
Luffaaaa maneno nawafunzaa haohaohao[emoji441]apone haraka twamuombea.
 
huyu luffa ndio alifanya ngoma za Cp wa parllane na kuna kipindi alifanya ngoma na jokate au nimechanganya?
Hapo unaongelea watu wawili tofauti bro.
Luffa alikua switcher Record kwa Quick Racka.
Lucci ndo aliyefanya kazi na joketi.
 
Wasanii sometimes wazinguaji sana, wakipata wanakuwa na dharau sana kwa sisi, ila wakiumwa ndio wa kwanza kuomba wachangiwe!
 
Back
Top Bottom