Producer S2KIZZY avamiwa kwenye studio yake

Niliangalia interview yao kuna demu anasema mwenzake aliingiziwa mkono kwenye papuchi. Na wanaume nao wanadai walivuliwa nguo na kupigwa na virungu uchi.

Aisee huu ni udhalilishaji uliopitiliza, hao jamaa wanastahili adhabu.
 
Inamaana hakua na cctv kwenye studio yake??
 
Mm nilikuwa nawaza ujinga km huu wako nkawa najifikirisha maujinga icje ikawa ni njama za sihasa (fissi emu) kututoa kwenye reli nikagundu n mikonyagi imenilewesha
 
Ok pole kwake! Sio kama nafurahia ila "what goes around comes around" and karma is a bitch huyu producer katumia umaarufu wake kaumiza saana! Maunderground wengi sana! Analipwa pesa ila hawapi kazi zao anawazungusha zungusha tu! Nimesikia zaid ya maunderground wanne wakimlalamikia same issue afu anawajibu mbovu
 
Hatu katai Inawezekana kafanya hivyo,sasa mpaka kufikia hatua ya kwapiga wasichana waliokuwa studio bado haitoshi,una ingiza videlo,wengine mkono kwenye uke wa mwanamke,wakati huyo binti hana kosa hajakufanya chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…