Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Hivi waliowadharirisha wakina Esta Matiko na Catherine Ruge wameshakamatwa ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatafuta sympathy tuSijaona mantik ya kuvamiwa na kupost/kuripoti mitandaoni badala ya kuripoti sehemu husika.
NimKuna mmoja kadundwa full manundu hadi huruma..sijajua chanzo ni Nini ila walichofanyiwa siyo poa
Inaumiza sana siyo fair kabisa walichofanyiwaKuna mmoja kadundwa full manundu hadi huruma..sijajua chanzo ni Nini ila walichofanyiwa siyo poa
Kila siku chadema wanalilia uwepo wa haki, majitu yamekaa kimya tu. Ila huu ubaya utamfika kila mmojawetu.Niliangalia interview yao kuna demu anasema mwenzake aliingiziwa mkono kwenye papuchi. Na wanaume nao wanadai walivuliwa nguo na kupigwa na virungu uchi.
Aisee huu ni udhalilishaji uliopitiliza, hao jamaa wanastahili adhabu.
Refer paramagamba alipotoka hospital alichoongea [emoji28][emoji28]Nime shangaa kuona ana shukuriwa rais kwa kila post ya wasanii.apo nka amini kweli wasanii wa bongo ni misukule
Aisee Aisee! Nafikiri alidungwa nusu kaputi sasa alikuwa anazinduka!😀Refer paramagamba alipotoka hospital alichoongea [emoji28][emoji28]
Bongo mnapenda sana vipigo nadhani kwenye makuzi kuna tatizo mahala, kwahiyo mtu akikudharau unatakiwa umshushie kipigo? Tena walioshusha vipigo ndio walinzi wa raia, unajaribu kujustify au kuwatwika lawama victims au sijakuelewa vizuri.Watakuwa walitoka viwanja wakiwa wamelewa usiku na mademu zao kuingia kitaa wakawadharau shirikishi wanaolinda usiku.... Hii ni shida kwa vijana wengi usiku kuwadharau sungusungu wakiwa wamelewa... Nadhani itakuwa ndio chanzo.. Hao shirikishi hawawezi tu kuwashushia kipigo bila sababu..
Nenda Twitter Millard Ayo kaweka video.nimezoom sana video mbalimbali kutafuta mixer zilovunjwa computer nk sijaona
zaidi nimeona MIC CONDENSER ipo juu ya kochi sasa sijaelewa ni vyombo vipi vyote vilivovunjwa
pia nimefata hii ashtag #chersecurity
lkn hola
account yake pia ninaona giza tupu sasa akili yangu inawaza pengne ni amshaamsha ya kitu kipya kinakuja
mana nilitegemea zingetapakaa picha na video vyombo vya studio vikiwa vimevunjwavunjwa na hao walinzi shirikishi walovamia studion kwake na kufanya uharibifu na udharirishaji kwa wanawake
mkuu ukipata Picha zaidi au Video tupia tuone namna uharibifu wa mari ulivyofanyika ili tuweze tafsri ni tukio la namna gani
Kwa hiyo ndio wawatie vidole,wengine waingize mikono kwenye sehemu za siri za hao mabinti,huu ni ubakaji na hao sio Sungusungu ni wahuni manake wamevunja mpaka geti huu si ujambazi.Watakuwa walitoka viwanja wakiwa wamelewa usiku na mademu zao kuingia kitaa wakawadharau shirikishi wanaolinda usiku.... Hii ni shida kwa vijana wengi usiku kuwadharau sungusungu wakiwa wamelewa... Nadhani itakuwa ndio chanzo.. Hao shirikishi hawawezi tu kuwashushia kipigo bila sababu..
Isije ikawa ni bifu baina ya mastaaAiseee au nimajambazi?
Waongo na ni issu e ya kutunga hiinimezoom sana video mbalimbali kutafuta mixer zilovunjwa computer nk sijaona
zaidi nimeona MIC CONDENSER ipo juu ya kochi sasa sijaelewa ni vyombo vipi vyote vilivovunjwa
pia nimefata hii ashtag #chersecurity
lkn hola
account yake pia ninaona giza tupu sasa akili yangu inawaza pengne ni amshaamsha ya kitu kipya kinakuja
mana nilitegemea zingetapakaa picha na video vyombo vya studio vikiwa vimevunjwavunjwa na hao walinzi shirikishi walovamia studion kwake na kufanya uharibifu na udharirishaji kwa wanawake
mkuu ukipata Picha zaidi au Video tupia tuone namna uharibifu wa mari ulivyofanyika ili tuweze tafsri ni tukio la namna gani
Wamepigwa kwa sababu ya kugombania wapenzi.Producer wa muziki s2kizzy ametoa taarifa kupitia ukulasa wake wa Instagram kuwa usiku wa kuamkia Leo amevamuwa na Hawa wanaoijiita ulinzi shirikishi na kufanyiwa fujo kwenye studio yake ikiwa pamoja na kuvunjiwa vifaa vyote vya studio..
Anaendelea .. tumevamiwa tumepigwa kuteswa Sana anadai wanawake waliokuwepo humo studio wamedharirishwa, wamefanyiwa unyama wa kutisha sana
"WAMETUPIGA NA KUTUVUA NGUO MBELE YA WANAUME ZAIDI YA 20"
Wakina Dada waliokuwepo Studio kwa @s2kizzy waelezea Jinsi walivyopigwa na Kuzalilishwa na Watu waliojitambulisha kama "Walinzi Shirikishi" Usiku wa Kuamkia Leo .
Studio ya Producer @s2kizzy imeharibiwa vibaya , na Watu waliokuwepo ndani kupigwa na Marungu Kutoka Kwa Watu waliojitambulisha kuwa Walinzi .
View attachment 1601022
Hili swali fikirishi, pia tujiulize, msemaji mkuu wa serikali, katembelea matukio mangapi ya watu kuvamiwa?? Roma alipotekwa alimtembelea??Ilikuwaje watu zaidi ya 30 kulala chumba kimoja tena jinsia tofauti?
Lilikuwa ni dangulo au?
Lisa bado haijulikani Ila watu wamechezea kipigo heavy, Pia kuna mwanadada kaingiziwa mkomo sehemu za Siri.Wamepigwa kisa nini