Producer S2KIZZY avamiwa kwenye studio yake

Niliangalia interview yao kuna demu anasema mwenzake aliingiziwa mkono kwenye papuchi. Na wanaume nao wanadai walivuliwa nguo na kupigwa na virungu uchi.

Aisee huu ni udhalilishaji uliopitiliza, hao jamaa wanastahili adhabu.
Kila siku chadema wanalilia uwepo wa haki, majitu yamekaa kimya tu. Ila huu ubaya utamfika kila mmojawetu.

Tupendane na kutendeana haki, sio mwenzako anaumizwa wewe unakaa kmya kwa sababu sio mtu wa upande wako, sisi sote ni watanzaniano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watakuwa walitoka viwanja wakiwa wamelewa usiku na mademu zao kuingia kitaa wakawadharau shirikishi wanaolinda usiku.... Hii ni shida kwa vijana wengi usiku kuwadharau sungusungu wakiwa wamelewa... Nadhani itakuwa ndio chanzo.. Hao shirikishi hawawezi tu kuwashushia kipigo bila sababu..
 
Bongo mnapenda sana vipigo nadhani kwenye makuzi kuna tatizo mahala, kwahiyo mtu akikudharau unatakiwa umshushie kipigo? Tena walioshusha vipigo ndio walinzi wa raia, unajaribu kujustify au kuwatwika lawama victims au sijakuelewa vizuri.
 
Nenda Twitter Millard Ayo kaweka video.

Msemaji wa Serikali Abbas pia 'kalishobokea' Hilo suala na kuahidi kulifuatilia.
 
Kwa hiyo ndio wawatie vidole,wengine waingize mikono kwenye sehemu za siri za hao mabinti,huu ni ubakaji na hao sio Sungusungu ni wahuni manake wamevunja mpaka geti huu si ujambazi.
 
Duuh siku nyingi sijaingia humu nimekuta vumbiiii. Skieni kuna habari zimesambaa kuvamiwa ile studio inayorekodi wasanii wa chama cha kijani, mi nafurahi wangewachapa vizuri pale wale vijana sema ingekua studio inarekodi nyimbo za wapinzani ungesikia mwenye studio kakutwa na dawa za kulevya heroin 10kg na dola za marekani 50,000, anyway is non of my bizness.

Polisi siwafundishi kazi lakini ikitokea tukio kama lile siku nyingine mzungushie utepe mzuie watu kuingia na eneo kutumika hadi mkamilishe uchunguzi, hivi vitu hamfundishwi vyuoni ? Kile chuo pale Moshi au mnasoma utopolo tu kudeal na upinzani ?? acheni huo ujinga next time msimame nafasi yenu vizuri.
 
Nina uhakika hawa ni ccm
Maana pole pole kajibu haraka haraka,kunna tukio walikuwa wanataka wasingizie MTU hapo sema wasanii wa tz wameshtuka wotte wapo huko huko ccm.
Labda watubambikie sisi wananchi kapuku
 
Waongo na ni issu e ya kutunga hii

Ndio màna pole pole na mondi wametweet haraka haraka
Yaani sijui wanatuonaje sisi watz
 
Sema tatizo wabongo huwa tuna tatizo la kukuza Mambo !!! Kwahiyo Mimi siamini et wameingiziwa mikono kwenye uchi sijui nini !! Na blah blah

Watanzania ni waongo sana.
 
Wamepigwa kwa sababu ya kugombania wapenzi.
 
Ilikuwaje watu zaidi ya 30 kulala chumba kimoja tena jinsia tofauti?

Lilikuwa ni dangulo au?
Hili swali fikirishi, pia tujiulize, msemaji mkuu wa serikali, katembelea matukio mangapi ya watu kuvamiwa?? Roma alipotekwa alimtembelea??
Studio Mawingu ilipovamiwa na Bashite??

Wameona movie ya Mbatia imebuma, wamekuja na hii..

WaTz siyo wajinga kiasi hiki!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Wamepigwa kisa nini
Lisa bado haijulikani Ila watu wamechezea kipigo heavy, Pia kuna mwanadada kaingiziwa mkomo sehemu za Siri.
Mwanaume kavuliwa nguo aoneshe anakoingiliwa kinyume na maumbile ova
 
INTELLEGENSIA INAONYESHA HAPA PANA SUALA MAMBO YA KIMAPENZI AIDHA YUPO MMOJA INAONEKANA NI KIJOGOO SANA KWA WAKE ZA WENZIE but wapelelezi wataujuza zaidi tuvute subira hawa vijana bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…