Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Sidhani kama kuna cctv pale, nimeangalia mahojiano yao...ki ukweli mazingira ya pale ni duni sana. Sikutegemea kwa ukubwa wa jina la s2kizzy studio yake ingekuwa maeneo duni vile. Kuna kitu kinatakiwa kufanyika kwenye sanaa, wasanii wana majina makubwa lakini maisha yao ni choka mbaya. Inasikitisha.Inamaana hakua na cctv kwenye studio yake??
Aisee kwa jamaa alvo na Jina kubwa hvoSidhani kama kuna cctv pale, nimeangalia mahojiano yao...ki ukweli mazingira ya pale ni duni sana. Sikutegemea kwa ukubwa wa jina la s2kizzy studio yake ingekuwa maeneo duni vile. Kuna kitu kinatakiwa kufanyika kwenye sanaa, wasanii wana majina makubwa lakini maisha yao ni choka mbaya. Inasikitisha.
Tumekuza sisi au waathirika waliofanyiwa hivyo,katizame interview waliofanyiwa waathirika wa hili tukio ktk Wasafi,Millard wote wameohojiwa kwa mda tofauti wanaongea kitu kimoja.Sema tatizo wabongo huwa tuna tatizo la kukuza Mambo !!! Kwahiyo Mimi siamini et wameingiziwa mikono kwenye uchi sijui nini !! Na blah blah
Watanzania ni waongo sana.
Tumekuza sisi au waathirika waliofanyiwa hivyo,katizame interview waliofanyiwa waathirika wa hili tukio ktk Wasafi,Millard wote wameohojiwa kwa mda tofauti wanaongea kitu kimoja.
Na huyo binti aliyefanyiwa hivyo ana michubuko makalioni na mapajani.
Haya kabishane na video.Kwani hao waathirika siyo watz (wabongo) ?
Na kuongea kitu kile kile ndiyo inajustify kwamba hawakuzi mambo?
Na wewe umeona vipi hayo makalio yaliyochubuka, huku ndiyo kukuza mambo nakokusemea Sasa!!!