Producer S2Kizzy kabla ya kwa switcher alikuwa wapi?

Producer S2Kizzy kabla ya kwa switcher alikuwa wapi?

kwa-muda

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
2,097
Reaction score
5,348
Huyu kijana kwa sasa ni mtayarishaji wa mziki ambaye ana run kwa sasa. Anajua na mziki wake unabadirika badirika.
Baadhi ya ngoma alizogonga ni
Solo - OMG
Ona - Lulu Diva ft Rich Mavoko
Asichukulie Poa - Shebby Medicine
Simwachii Mungu _joh makini
Dubai _ Nick 2

Yani kwasasa asilimia kubwa ya hits amezitengeneza yeye. Ningependa kujua kwa anayemfahamu ametokea wapi na alikuwa wapi maana kaibuka ghafla baada ya Lufa kuondoka kwa switcher
 
beatmaker huyo,mixing na mambo mengine wanafanya akina chizan brain
 
Nasikia alikuwa anasoma NIT kozi ya transport and logistics management baadaye akaacha baada ya uproducer kuanza kumlipa. Kabla ya hapo sijui.

NB.nimeambiwa tu na mimi.
 
Najiuliza why luffa aliondoka smg ??
Labda maslahi, naona dogo S2 kafanya fasta keshafungua studio yake inaitwa Pluto.
Hapa afanye uwekezaji maana hakuna watu wana expire mapema kama maproducer, maana mwaka juz kurudi nyuma ilikuwa T-Touch alitengeneza almost kila hit now kawa wa kawaida
 
Yaani we acha mzeebaba.. producer ukimaliza mwaka fresh.. Shukuru sana
 
S2Keezy mnyama sana, nakubali sana kazi zake hata kama ni beatmaker ila yuko level nzuri! He makes hits!
Ndo nimesikia kuwa mixing hafanyi mwenyewe sikuwa ninajua hili, ila jamaa anagonga beat za hatari hatari na za aina zote dogo ni mkali sana ana ma idea ya kipekee.
 
Hahahaha. Mkuu ile 🎻 violin ya luffa kwenye kababaye.. sijui jamaa aliwaza nini??.. Watu wengi wanaipenda ile violin yake... ni nomaaa
Sema mle kila kitu uwa kiko on the right spot, kababaye safi sana. Hivi mkuu mixing unaweza?
 
Sema mle kila kitu uwa kiko on the right spot, kababaye safi sana. Hivi mkuu mixing unaweza?
Daah mkuu mixing siwezi.. anafanyaga mchizi mmoja hivi.. nimeambiwa kufanya mixing inabidi uwe umesomea sound engineering... ET ni kweli mkuu??
 
Alisoma Kwiro secondary advance badae akaenda chuo gani Sijui ila sidhani kama alihitimu?
 
Back
Top Bottom