uyo dogo nimesoma nae tangu vidudu na chekechea napia nimesoma nae primary na secondary alikuwa best yangu kwa kila kitu huko mkoa wa mbeya wilaya ya kyela sehemu moja inaitwa stamiko katika mgod wa makaa ya nawe unaitwa kiwila coal mine na alikuwa anakaa kwa shangaz katika kota za huo mgod na mzee wangu alikuwa anakaa jilan na shangaz yake dogo ameanza kuimba nakutengeneza bit tangu form one kwenye studio moja ya headmaster wa Shule ya kiwila coal mine na alikuwa kichwa san akishika nafasi ya pili Mimi ya tatu lakin sasaivi kawa maalufu ametusahau washkaji zake bhana