Ndo alikotokea huko? Watanzania bahna.........beatmaker huyo,mixing na mambo mengine wanafanya akina chizan brain
Labda maslahi, naona dogo S2 kafanya fasta keshafungua studio yake inaitwa Pluto.Najiuliza why luffa aliondoka smg ??
Yaani we acha mzeebaba.. producer ukimaliza mwaka fresh.. Shukuru sanaLabda maslahi, naona dogo S2 kafanya fasta keshafungua studio yake inaitwa Pluto.
Hapa afanye uwekezaji maana hakuna watu wana expire mapema kama maproducer, maana mwaka juz kurudi nyuma ilikuwa T-Touch alitengeneza almost kila hit now kawa wa kawaida
Eeh ndiyo sasa sijui bado yupo??.. Daah ila nami ntatoka tuu.. nawakubali Sana wanene..Kabisa yani na Luffa si alipoondoka kwa switcher si alienda wanene au?
Ndo nimesikia kuwa mixing hafanyi mwenyewe sikuwa ninajua hili, ila jamaa anagonga beat za hatari hatari na za aina zote dogo ni mkali sana ana ma idea ya kipekee.S2Keezy mnyama sana, nakubali sana kazi zake hata kama ni beatmaker ila yuko level nzuri! He makes hits!
Hahahaha. Mkuu ile 🎻 violin ya luffa kwenye kababaye.. sijui jamaa aliwaza nini??.. Watu wengi wanaipenda ile violin yake... ni nomaaaNaskia asahaondoka hapo. Kuna violin Luffa alipiga kwenye kababaye yani uwa inanipa stim zaidi ya mjani
Daah mkuu mixing siwezi.. anafanyaga mchizi mmoja hivi.. nimeambiwa kufanya mixing inabidi uwe umesomea sound engineering... ET ni kweli mkuu??Sema mle kila kitu uwa kiko on the right spot, kababaye safi sana. Hivi mkuu mixing unaweza?