Producer S2Kizzy kabla ya kwa switcher alikuwa wapi?

Daah mkuu mixing siwezi.. anafanyaga mchizi mmoja hivi.. nimeambiwa kufanya mixing inabidi uwe umesomea sound engineering... ET ni kweli mkuu??
Ukisomea utafanya kwa usahihi zaidi ila wengi hujifunzia mtaani tu.
 
uyo dogo nimesoma nae tangu vidudu na chekechea napia nimesoma nae primary na secondary alikuwa best yangu kwa kila kitu huko mkoa wa mbeya wilaya ya kyela sehemu moja inaitwa stamiko katika mgod wa makaa ya nawe unaitwa kiwila coal mine na alikuwa anakaa kwa shangaz katika kota za huo mgod na mzee wangu alikuwa anakaa jilan na shangaz yake dogo ameanza kuimba nakutengeneza bit tangu form one kwenye studio moja ya headmaster wa Shule ya kiwila coal mine na alikuwa kichwa san akishika nafasi ya pili Mimi ya tatu lakin sasaivi kawa maalufu ametusahau washkaji zake bhana
 
Nasikia alikuwa anasoma NIT kozi ya transport and logistics management baadaye akaacha baada ya uproducer kuanza kumlipa. Kabla ya hapo sijui.

NB.nimeambiwa tu na mimi.
nimeishi nae sehemu moja uyo dogo tangu tukiwa watoto mpaka kumaliza shule namjua pow sab
 
Unataka akufanyaje? Mtoto wa kiume pambana acha kulalamika utaolewa
 
😀😀😀😀😀😀
Maisha yanabadilika mkuu.
 
Usilaumu mkuu katika maisha kuna watu lazima uwa drop ili uendelee kusonga. Mbeya kuna vipaji vingi hasa vya maproducer
 
Kipindi chake hiki kuHIT asije kulamika akipotea kwenye Game!!! Hata Lamar naye alikuwa hitmaker!!
 
Sawa mkuu kumbe umesoma nye esitozekizi?
 
Dogo yuko hot kinoma sema hata ma producer kibao wa mbele huko pia huwa wanasaidiwa na maproducer wakongwe katika mixing sababu hii kitu sometimes inahitaji sikio flani hv lenye experience.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu wasanii kama manyumbu, wakianza kwenda kwa producer mpya basi wote wanahamia huko, akianza kuwachaji wanamkimbia
Umenikumbusha Weusi walipokuwa Bhits, then wakatoka hapo wakahamia kwa Nah real, now wametoka sijui wako wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…