Producer S2Kizzy kabla ya kwa switcher alikuwa wapi?

Hivi huyu si n mdogo wake Azizi baba alikua dereva aliitwa mzee Kassim au unamfaham vipi
 
Advance alienda wapi, na chuo je?
 
Hapo ndipo mnakosea, sio amewasahau, ila saizi kila mtu ana njia yake, yeye anapiga story za muziki na mipango ya muziki inawezekana wewe unashughuli zako. Tuache kuwaona watu ni wabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…