Hongera kwa uzi mzuri mkuu...ila kutaja ngoma alizohusika bwana Scott bila kuitaja "Make it rain" ya Fat Joe nadhani hata yeye anasikitika.
Kitu kingine huja mention kabisa kuwa "Jigga" Jay Z aliandika wimbo wa "Still dre" kwa muda wa nusu saa tu.....