Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
-
- #41
Usihofu mkuu tunashusha nyingine muda sio mrefu Kuna sehemu nimekuta wameweka album yake Oliver ya adia imetoka 95 yote kabisaaKabisa mkuu hizi nyimbo niko na DJ mix moja sema kule wameunganisha vipande vipande nikashindwa kung'amua ni nani hasa ameimba baadhi ya nyimbo mule kwenye Dj mix nashukuru kuna nyimbo nimezipata naomba sana kama una playlist unisaidie nizishushe nyimbo nzuri sana hizi...
Panchito naomba uweke list nyingine tafadhali..
Kuna mshkaji wangu ni wa 90's ila humwambii kitu kwenye haya magoma. Kupitia yeye na mimi nikajikuta naanza kuzikubali.Hata Mimi mkuu nimezijulia kupitia mzee wangu na hata nilipokuwa dj ilibidi nizijue
NI nyimbo nzuri Sana mkuu nadhanj umeshuhudia mwenyeweKuna mshkaji wangu ni wa 90's ila humwambii kitu kwenye haya magoma. Kupitia yeye na mimi nikajikuta naanza kuzikubali.
Hahaha wamefanya muziki umekuwa rahisi lakini unaboa harakaNadhani shida moja wapo ni mabadiliko ya nyakati. Kwa zama hizo (japo sikuwepo) ilikuwa ni ngumu kufanya muziki kwa kuwa studio zilikuwa chache hao wenye studio walikuwa ni watu wanaoelewa muziki na kuamua kuwekeza pesa na ujuzi kutengeneza mziki mzuri. Wimbo mmoja unapita kwenye mikono ya watu kibao hivyo lazima kila mtu ataweka ufundi wake na kufanya wimbo uwe mzuri.
Zama hizi kutengeneza mziki imekuwa cheap sana. Ukiwa na laptop yako unakamata Digital Audio Workstation unayoitaka then unaanza unaingia youtube unapitia tutorials na wewe unaanza kuchora chord progression za kubahatisha kwenye piano roll basi na wewe unaanza kujiita producer. Ukipata wsanii wawili watatu ukafanya nao ngoma zikaenda ndo inakuwa imeisha hiyo.
hii mkuu ni ya mwamba Samba Mapangala kibao kinakwenda kwa jina ''Marina''Wakuu Kuna wimbo unanipiga Sana chenga nautafutaga Sana Kuna sehemu wanaimba hivi
"Mapenzi ya simu ,sitaweza na Kama hunipendi ni bora uniambie nijue"
Sauti naskia Kama ya Kanda bongo man au tshala muana
Ni wimbo wa nani huo?
Nashkuru Sana mkuu acha niichekhii mkuu ni ya mwamba Samba Mapangala kibao kinakwenda kwa jina ''Marina''
Je bado Sana ya uko usafini?😂😂Aisee nilikuwa nau-underestimate muziki wa zilipendwa +kikazi kipya wa Congo lakini aisee nimekubali..muziki umepikwa ukapikika..vyombo vimepangwa..Namsikiliza mwanamama Mbilia Bel,sauti tamu kabisa.
Huu muziki wetu wa kibongo hauna ladha kabisa..una cheap production ile mbaya na ukiusikiliza kwenye chombo bora unakuwa flat kabisa..ni ngoma chache sana za kikazi hiki zenye production nzuri..Mfano,Nandy ft Sauti Sol
Tunajua kuusikiliza mkuu sio kuuzalisha.Sasa nyinyi mnajua muziki mnasubiri nini kufanya production tusikie? Naona utaalamu wenu unaishia JF tu, inakuwaje?
Mzee wa kukesha hivi hulalagi😂😂
Unanijua? Profile yangu inajielezaSasa nyinyi mnajua muziki mnasubiri nini kufanya production tusikie? Naona utaalamu wenu unaishia JF tu, inakuwaje?
Muziki ni kwa ajili ya mashabiki, na mpaka sasa hao uliotaja wameweza kukidhi kiu ya mashabiki zao pamoja na kujiingizia kipato kizuri tuu, cjui unachotaka haswa ni nini????Tunajua kuusikiliza mkuu sio kuuzalisha.
mi nahitaji kusikiliza mziki mzuri tuu tena ulio katika mpangilio wa vyombo vinavyosikika vizuri na kwa ubunifu.Muziki ni kwa ajili ya mashabiki, na mpaka sasa hao uliotaja wameweza kukidhi kiu ya mashabiki zao pamoja na kujiingizia kipato kizuri tuu, cjui unachotaka haswa ni nini????
HujamuelewaMuziki ni kwa ajili ya mashabiki, na mpaka sasa hao uliotaja wameweza kukidhi kiu ya mashabiki zao pamoja na kujiingizia kipato kizuri tuu, cjui unachotaka haswa ni nini????