MfanyakaziHewa
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 221
- 639
Too much ya darassa ile bit Ni balaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wimbo auishiToo much ya darassa ile bit Ni balaa.
The Mixing Killer ni Yokeeyz moriento,,anajua kinyama uyu jombaa,,Pia kuna Blaq boi na Lizer wako vyedi kwa mixingS2kizzy baby..hahahaha
Kuna dogo anatumia ID ya "the mixkiller" naona kwenye nyimbo nyingi za sasa yupo..sasa sijui ndo mtabe wa mixing au vipi?
Incase you don't know ya Jux ni wimbo wa kipindi hiki nilioelewa mixing yake
Zama zimebadirika resources za kujisomea zimekuwa rahisi kufikika siyo kwa mziki tu ni kwa kila kitu. Huwezi pingana na mabadiriko na sayansi imefanya kila kitu kuwa rahisi ukiwa na vifaa vichache unaweza charaza kila kitu. Pfunk mwenyewe namkubari S2kizzy japo alisema kwenye mixing na mastering hakuna anayemkubariView attachment 1418351
Yani naona maproducer wa siku hizi wana baraka ya vifaa vipya, software kali, internet, n.k ila nashindwa kujua ni wapi wanakosea kwenye mixing.
sikuhizi hakuna hajuba ushirikiano, biti zima linagongwa na mtu moja na mixing nzima na huyo huyo tofauti na zamani hadi ngoma imekamilika hata kama ni kwa p funk basi wamehusika watu wasiopungua watatu, nakumbuka lile gitaa la she got a gwyne lilicharazwa na mzungu kichaa.
kitu kingine elimu ya uandaaji wa mziki ni ya hovyo sana wanayoipata producers wa siku hizi, yaani kina p walisomea darasani hivi vitu kwa miaka miwili huko uholanzi walijua wanachofanya, sasa sikuhizi mtu kajua tu kutengeneza biti la singeli anajiona youtube ukija kwenye mixing ndio anaharibu kabisa
sikiliza kitu hiki, yani vocal na beat vipo sawa
Nani katengeneza NICHEKI ya OTEN? Ile biti
unacheza bila sauti dah
We nae wale wale kasoro tareheNi kweli maproducer wa zamani walikuwa wabunifu Sana kuliko wasasa ila Kuna ngoma ya Maua sama niteke ni bonge la ngoma
Kwenye mziki jambo hilo linawezekana vizuri kama ukiwa na talent isiyoya kubahatisha kama hawa mumble rappersMaproducer wa Bongo wanakutolea album ndani ya wiki moja tu. Yaani hawa wanajua kutania kazi za watu.
Huyo ni Kimambo beatsHiv aliyetengeneza Niteke ya Maua sama ni Nani? ile mix ipo bomba Sana.
Nyimbo nayoikubali kwa mixing katika kizazi kipya cha ma producer ni "Raha" by Marioo.S2kizzy baby..hahahaha
Kuna dogo anatumia ID ya "the mixkiller" naona kwenye nyimbo nyingi za sasa yupo..sasa sijui ndo mtabe wa mixing au vipi?
Incase you don't know ya Jux ni wimbo wa kipindi hiki nilioelewa mixing yake
Laizer mtoe kabisa kwenye hio equation. Nyimbo zake hazina uwiano kuna zenye makelele huku zingine zinasikilizika.TThe Mixing Killer ni Yokeeyz moriento,,anajua kinyama uyu jombaa,,Pia kuna Blaq boi na Lizer wako vyedi kwa mixing
huu upuuzi anao Diamond, not creative at all! Jeje ni sample ya joro!Tanzania kwa sasa muziki kumejaa takataka tu.
Kwa kuwa mtu ana media au ana network ya media fulani, basi anaitumia kuPUSH takataka zake masikioni kwa watu.
Video Directors nao ni washika camera tu na waunga picha.
Producers ndio takataka kabisa, Wasanii wanaenda studio na mabiti ya watu mifukoni.
Producers anaambiwa tu nataka biti kama la JORO ya wizkid, then anaisample kiduchu mtu anaweka ugoro wake halafu anatumia nguvu kubwa ya media kuusukuma masikioni kwa watu.
"Producers anaambiwa tu nataka biti kama la JORO ya wizkid, then anaisample kiduchu mtu anaweka ugoro wake halafu anatumia nguvu kubwa ya media kuusukuma masikioni kwa watu."Tanzania kwa sasa muziki kumejaa takataka tu.
Kwa kuwa mtu ana media au ana network ya media fulani, basi anaitumia kuPUSH takataka zake masikioni kwa watu.
Video Directors nao ni washika camera tu na waunga picha.
Producers ndio takataka kabisa, Wasanii wanaenda studio na mabiti ya watu mifukoni.
Producers anaambiwa tu nataka biti kama la JORO ya wizkid, then anaisample kiduchu mtu anaweka ugoro wake halafu anatumia nguvu kubwa ya media kuusukuma masikioni kwa watu.
Man walterMajani
Master J
Said comorien
Alan Mapigo
Na yule aliyemtoa 20% Jina nimesahau ..
Hawa ni Baadhi ya walio niridhisha katika Ubunifu .