Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2019/03/2011898_Kizizi_-_Bablee.mp3
Binafsi naona hii beat ya bablee ingeshikwa na mwana hip hop laini fulani hivi ingenoga sana hii beat imekaa kurapiwa fulani hivi ila sio kigumugumu😂
Click link hapo juu 👆👆
Na Master J alisomea Sound Engineering alikopelekwa na na dingi ake akasomee Electrical engineering.Mkuu kumbuka Majani mziki alisomea na alikaa darasani tena alisomea nje so alikua anajua anachokifanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
I got you bro..Hili pini vyombo vimepangiliwa vizuri sana..mixing imesimamaNyimbo nayoikubali kwa mixing katika kizazi kipya cha ma producer ni "Raha" by Marioo.
Sikiliza hili pini kwenye kinu cha maana utanielewa nini namaanisha.
ile kitu imenyooka sana..hao blacq na mixkiller sio band ya producers kama walivyo Underdogs kweli?I got you bro..Hili pini vyombo vimepangiliwa vizuri sana..mixing imesimama
Huyu dogo anaitwa blacq beats kasaidiana na huyu mixkiller..walijitahidi sana
Yes mkuu bado hawajapewa uzitoile kitu imenyooka sana..hao blacq na mixkiller sio band ya producers kama walivyo Underdogs kweli?
Huyo producer ni mzuriHuyo ni Kimambo beats
Kwenye mziki jambo hilo linawezekana vizuri kama ukiwa na talent isiyoya kubahatisha kama hawa mumble rappers
Tupac anahistoria kama hiyo na album yake ilikua ni moto
Njoo bongo sasa naskia hadi ray alikua anatoa filamu tatu kwa wiki
It's Scars
"Producers anaambiwa tu nataka biti kama la JORO ya wizkid, then anaisample kiduchu mtu anaweka ugoro wake halafu anatumia nguvu kubwa ya media kuusukuma masikioni kwa watu."
Na akimaliza hapo anasema huu wimbo utaitwa JEJE.
huu upuuzi anao Diamond, not creative at all! Jeje ni sample ya joro!
Eneka ni sample ya Davido ya IF
Na still anaendelea kupeta na ngoma za ku sample
Hakuna sehemu nimesema kuna shida kwa yeye ku-sample mkuu.Mkuu with due Respect kwani Mtu kufanya sampling Kuna ubaya Gani?
Msaniii tajwa hapo juu mbona Ana nyimbo nyingi tu ambazo Og Idea ni ya kwake Yeye kusample beats mbili tatu ni ishu?
Tanzania kwa sasa muziki kumejaa takataka tu.
Kwa kuwa mtu ana media au ana network ya media fulani, basi anaitumia kuPUSH takataka zake masikioni kwa watu.
Video Directors nao ni washika camera tu na waunga picha.
Producers ndio takataka kabisa, Wasanii wanaenda studio na mabiti ya watu mifukoni.
Producers anaambiwa tu nataka biti kama la JORO ya wizkid, then anaisample kiduchu mtu anaweka ugoro wake halafu anatumia nguvu kubwa ya media kuusukuma masikioni kwa watu.
Hakuna sehemu nimesema kuna shida kwa yeye ku-sample mkuu.
Kwenye mziki jambo hilo linawezekana vizuri kama ukiwa na talent isiyoya kubahatisha kama hawa mumble rappers
Tupac anahistoria kama hiyo na album yake ilikua ni moto
Njoo bongo sasa naskia hadi ray alikua anatoa filamu tatu kwa wiki
It's Scars
Binafdi siamini kama hilo biti katengeneza mwenyewe bila kukopi.Nyimbo ambayo Laizer amewahi kuipatia kui mix ni ile ya Diamond na Morgan Heritage - "Hallelujah" mbali na hapo sijaona.
Mkuu Director wapya walichofanya ni kuwekeza kwenye vifaa.😂😂😂 Kazi kweli kweli kwa hyo hata new Generation Video directors nao ni takataka?
Hivi kweli unaeza ukafananisha Video za miaka ya elfu mbili na miaka Hii?
Alafu msanii kupush kazi yake nao ni utakataka? Ulitaka atengeneze kazi alafu aiachie tu kama kaachia kuku bandani?