Producers wa sasa uchwara, nipe wimbo wowote unaosokilozika vizuri (mixing) kama hii ya P Funk

Producers wa sasa uchwara, nipe wimbo wowote unaosokilozika vizuri (mixing) kama hii ya P Funk

Nyimbo ambayo Laizer amewahi kuipatia kui mix ni ile ya Diamond na Morgan Heritage - "Hallelujah" mbali na hapo sijaona.
 
https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2019/03/2011898_Kizizi_-_Bablee.mp3

Binafsi naona hii beat ya bablee ingeshikwa na mwana hip hop laini fulani hivi ingenoga sana hii beat imekaa kurapiwa fulani hivi ila sio kigumugumu😂

Click link hapo juu 👆👆
1586845637535.png

Nimejikuta naongeza sauti.
 
Nyimbo nayoikubali kwa mixing katika kizazi kipya cha ma producer ni "Raha" by Marioo.

Sikiliza hili pini kwenye kinu cha maana utanielewa nini namaanisha.
I got you bro..Hili pini vyombo vimepangiliwa vizuri sana..mixing imesimama

Huyu dogo anaitwa blacq beats kasaidiana na huyu mixkiller..walijitahidi sana
 
I got you bro..Hili pini vyombo vimepangiliwa vizuri sana..mixing imesimama

Huyu dogo anaitwa blacq beats kasaidiana na huyu mixkiller..walijitahidi sana
ile kitu imenyooka sana..hao blacq na mixkiller sio band ya producers kama walivyo Underdogs kweli?
 
Kwenye mziki jambo hilo linawezekana vizuri kama ukiwa na talent isiyoya kubahatisha kama hawa mumble rappers

Tupac anahistoria kama hiyo na album yake ilikua ni moto

Njoo bongo sasa naskia hadi ray alikua anatoa filamu tatu kwa wiki

It's Scars

Twende sawa, 2Pac hakuwa producer. Ndio alikuwa rylical genius kama tunavyoona kwenye free style zake. Isitoshe Mcs ni watu wanaoandika kila siku kwa hiyo akirekodi nyimbo mbili kwa siku sishangai kwa kuwa atakuwa alishajiandaa. Lakini kwa producer kufanya kila kitu album ikamilike ndani siku 7 hiyo inatokea hukuhuku Sinza tu
 
10 yrs from now kuta kuwa na the same comments kama za kwenye uzi Huu zikiwasifia wakina Lizer, kimambo, nahreel na wengineo ambao nyie mnawaponda saying kwamba wakina Laizer ni wakali sana

Old generation km nyie mna tabia ya kukandia new generation I don't know why. Mnasahau haya mambo yanaenda na time. Hao maproducers mnaosifia Sijui wanafanya mixing nzuri blah blah si Wapo hadi saizi? Kwanini wasirindimishe hits kama zamani? Wameishia kulalamika tu mziki wa siku hizi bhana hata hauna ladha

Ni Suala la muda tu. Generation Yao ishapita Hao saizi. Saizi mambo ni rahisi tu na watu tunapenda. I believe wachangiaji kwenye Uzi Huu ni watu 80's and early 90's 😂

Relax.
 
"Producers anaambiwa tu nataka biti kama la JORO ya wizkid, then anaisample kiduchu mtu anaweka ugoro wake halafu anatumia nguvu kubwa ya media kuusukuma masikioni kwa watu."

Na akimaliza hapo anasema huu wimbo utaitwa JEJE.

Mkuu with due Respect kwani Mtu kufanya sampling Kuna ubaya Gani?

Msaniii tajwa hapo juu mbona Ana nyimbo nyingi tu ambazo Og Idea ni ya kwake Yeye kusample beats mbili tatu ni ishu?
 
huu upuuzi anao Diamond, not creative at all! Jeje ni sample ya joro!

Eneka ni sample ya Davido ya IF

Na still anaendelea kupeta na ngoma za ku sample

Mkuu mbona hata wasanii wa zamani walikuwa wanafanya Sampling. Au ni kitu kipya?

Alafu at the end Ile ni burudani mkuu kama watu wameburudika na kupenda Kuna shida gani hapo?
 
Mkuu with due Respect kwani Mtu kufanya sampling Kuna ubaya Gani?

Msaniii tajwa hapo juu mbona Ana nyimbo nyingi tu ambazo Og Idea ni ya kwake Yeye kusample beats mbili tatu ni ishu?
Hakuna sehemu nimesema kuna shida kwa yeye ku-sample mkuu.
 
Tanzania kwa sasa muziki kumejaa takataka tu.

Kwa kuwa mtu ana media au ana network ya media fulani, basi anaitumia kuPUSH takataka zake masikioni kwa watu.

Video Directors nao ni washika camera tu na waunga picha.

Producers ndio takataka kabisa, Wasanii wanaenda studio na mabiti ya watu mifukoni.

Producers anaambiwa tu nataka biti kama la JORO ya wizkid, then anaisample kiduchu mtu anaweka ugoro wake halafu anatumia nguvu kubwa ya media kuusukuma masikioni kwa watu.

😂😂😂 Kazi kweli kweli kwa hyo hata new Generation Video directors nao ni takataka?

Hivi kweli unaeza ukafananisha Video za miaka ya elfu mbili na miaka Hii?

Alafu msanii kupush kazi yake nao ni utakataka? Ulitaka atengeneze kazi alafu aiachie tu kama kaachia kuku bandani?
 
Kwenye mziki jambo hilo linawezekana vizuri kama ukiwa na talent isiyoya kubahatisha kama hawa mumble rappers

Tupac anahistoria kama hiyo na album yake ilikua ni moto

Njoo bongo sasa naskia hadi ray alikua anatoa filamu tatu kwa wiki

It's Scars

Mumble rappers wenye wanachukua Grammy 😂😂
 
Nyimbo ambayo Laizer amewahi kuipatia kui mix ni ile ya Diamond na Morgan Heritage - "Hallelujah" mbali na hapo sijaona.
Binafdi siamini kama hilo biti katengeneza mwenyewe bila kukopi.

Laizer mabiti yake ORIGINAL ni yale yenye kelele kama hili.

😂😂😂 Kazi kweli kweli kwa hyo hata new Generation Video directors nao ni takataka?

Hivi kweli unaeza ukafananisha Video za miaka ya elfu mbili na miaka Hii?

Alafu msanii kupush kazi yake nao ni utakataka? Ulitaka atengeneze kazi alafu aiachie tu kama kaachia kuku bandani?
Mkuu Director wapya walichofanya ni kuwekeza kwenye vifaa.

Ila Editing, Shots na Creativity binafsi naona bado sana hususani ukiwalinganisha na Directors wa nje kama kina Clarence Peters au Moe Musa.
 
Back
Top Bottom