Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Aisee hapa alikomesha, wimbo hausikiliziki kabisa aisee...Binafdi siamini kama hilo biti katengeneza mwenyewe bila kukopi.
Laizer mabiti yake ORIGINAL ni yale yenye kelele kama hili.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ huenda kuna namna mkuu, kiukweli Laizer ni mzee wa beat za kuchakaza ngoma ya sikio. Sasa ile hallelujah usikute kaweka Tag tu.Binafdi siamini kama hilo biti katengeneza mwenyewe bila kukopi.
Laizer mabiti yake ORIGINAL ni yale yenye kelele kama hili.
Hilo neno Ugoro lilikua limeandikwa na jamaa niliyem-quote mkuu ndio maana nikaweka " " mkuu.Ni kweli hujasema mkuu ila angalia mtu uliyemquote alikuwa anaongelea hoja gani?
Alafu mkuu kama ulikuwa hauna Tatzo na sampling mbona umetumia Neno "ugoro" kwenye andiko lako?
Hata mimi huwa nikiisikiliza hallelujah moyo wangu unakataa kabisa kama kuna mkono wake pale..ππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£ huenda kuna namna mkuu, kiukweli Laizer ni mzee wa beat za kuchakaza ngoma ya sikio. Sasa ile hallelujah usikute kaweka Tag tu.
SikupingiLaizer mtoe kabisa kwenye hio equation. Nyimbo zake hazina uwiano kuna zenye makelele huku zingine zinasikilizika.
Ukitaka kujua producer anabahatisha kwenye mixing ni hapo tu.
Mfano nyimbo ya "Eneka" ya Diamond iko overpowered. Yani jamaa sijui huwa anafanya pre-amplification zaidi akiwa kwenye mixing. Nyimbo za Laizer nyingi naona zina ukelele mkubwa yani vocal na beats huwa haviko kwenye harmony halafu kuna zenye sauti kali kuzidi nyengine hazina uwiano na utofauti ni noticeable. Lazma uwe na Equalizer uichezeshe kila nyimbo maana bila hivyo ear fatigue inakupata haraka.
Sasa chukua nyimbo za majani kama umbo namba 8 ya fid Q, Chukua nyimbo ya Rudi nyumbani ya Juma nature, chukua nyimbo ya TID watasema sana ft. Nazizi, chukua nyimbo ya she got a gwan sikiliza nyimbo sehemu tulivu utaona jinsi ambavyo nyimbo zina uwiano wa vocals na beats bila kuwa overpowered. Yani unaweza sikiliza ngoma zote bila kugusa EQ na still ukainjoy.