Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Jana si nilikuona ma pepsi kubwa lao?Nimeshaingia mkuu.
Ahadi yetu tuliitimiza jana.
[emoji38]Jana si nilikuona ma pepsi kubwa lao?
Mirinda nyeusi au fanta orange/ passion.Mmh
Ni tamu kuliko soda gani?
Sio tamu sana... Ila ni nzuri[emoji23]
Nataka hiyo ya kuzima aisee.
Ila iwe tu tamu,ikiwa chungu nitashindwa.
Image tamu kushinda hata baadhi ya soda, kwasababu unaanza glass moja inatosha
Browser niaje? Natumia JF appNadhan simu yako ina.shida jaribu kubadilisha browser inaweza ikaonyesha
Hahah mkuu inaonyesha wewe ni mwanachama wa kimya kimya 😁Naona mzigo wa 50 cent kwenye jina lako [emoji3]
Hahah mkuu inaonyesha wewe ni mwanachama wa kimya kimya [emoji16]
Hivi sio vitu vyangu ndugu.... mi najua madude ngumu kumeza tu
Ma kvant au siyo[emoji23]Hivi sio vitu vyangu ndugu.... mi najua madude ngumu kumeza tu