Products from Dodoma wine "DOMPO"

Products from Dodoma wine "DOMPO"

Wee jamaa umesababisha nikumbuke kiporo changu cha dompo kilichobaki Jana.Nikirudi nyumbani namalizia.Dompo raha sana.Iwe baridi na nyama ya mbuzi iliyochomwa vizuri daaaah
 
Hivi sio vitu vyangu ndugu.... mi najua madude ngumu kumeza tu
Ma kvant au siyo[emoji23]
Unakunywa vya kilegendary.

Halafu ile ya juzi sijui kwanini sikubeba,
Kesho ningekaa zangu nikajaribu mdogo mdogo nyumbani.
 
Back
Top Bottom