Products from Dodoma wine "DOMPO"

Hahahahah naomba uje ofisi ya waziri mkuu huku tuongee vizuri (PM) office
Alilamba tu huyu hakunywa. Yani ulitarajia ulewe? Ushafika conclusion kwa test ndogo hivyo?
 
Alilamba tu huyu hakunywa. Yani ulitarajia ulewe? Ushafika conclusion kwa test ndogo hivyo?
Ulinipa pombe mbaya ile,labda unipe iliyo tamu.
Yaani nilijikaza tu ili nisiwadisappoint[emoji23],ila ile kwa kweli ilikuwa chungu.
 
Huyu ulimpa chupa gani aisee mbona anatamba sana hapa[emoji28][emoji28][emoji28] antakiwa akandamizwe dude la maana
Pombe na soda wala havina tofauti.
Nilikuwa mzima kabisa,yaani hadi nalala Niko na akili yangu ileile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ