Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
ile mbona siyo chungu!Hii kazi niliwaachia wao ila naona wamefeli,siku ya kwanza tu wamenipa vitu vichungu.
tungekupa serengeti ungegoma kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ile mbona siyo chungu!Hii kazi niliwaachia wao ila naona wamefeli,siku ya kwanza tu wamenipa vitu vichungu.
Noted mkuuAu kama unaweza mpe balantines ile chupa ndogo ya 13K ile! Kale kapombe hakana uchungu kanashuka kama maji tu [emoji28][emoji28][emoji28] sema muwekee kwenye sprite ainjoy sukari maana hakana sukari pia!
Analeta dharau tatizo 😅 mkaribisheni mjini vizuri😅tutamuua bure
hahahaaa unakumbuka zile pisi na mganda na desparado?Ntaionja then ntamtest nayo. Pisi zinaipenda sana hii ngoja tuone
sijui hata tumpe nini ila mi sitamani anyweAnaleta dharau tatizo 😅 mkaribisheni mjini vizuri😅
Unipe mrejesho mkuu sema hakikisheni hajala ubwabwa kwanza😅Noted mkuu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ameshakuwa binti mkubwa mwache ainjoy maishasijui hata tumpe nini ila mi sitamani anywe
siku hizi kuna k vant za buguruniWe unatakiwa upewe K vant kama pombe za maana unazichezea😅
Za wale kina Fei Li Yao walioshikwa janasiku hizi kuna k vant za buguruni
[emoji1751]Umekashifu kitu adhimu ndugu. Stakafirullah!
Mambo ya kutapika[emoji3][emoji3][emoji3]Unipe mrejesho mkuu sema hakikisheni hajala ubwabwa kwanza[emoji28]
Yani na kutamani kote kule ile rangi ya mtume (SAW) nilijiondokea zangu kinyonge. Mwanamke akikupatia mahala pake unaweza kupoteza hata nguvu za kiume. Na toka siku ile mpaka leo sijala pisi wala sina hamu nazo. Kuna mbuzi mmoja kanifactory reset mamaye hapa nimeanza kufanya settings upya [emoji23][emoji23]heeee wee unakubalije kupata stress za mapenzi?
si ungedaka pisi moja pale?
kikao kingine lini tena?
Ngoja nitajipanga kujaribu.Sawa unywe desperado sasa ina sukari
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 lazma apige chenchiMambo ya kutapika[emoji3][emoji3][emoji3]
Huoni anavotudharau? Lazma tumpelekee moto heshma iruditutamuua bure
Ukiishindwa hio inabidi tuonane nina dawa yako 😅Ngoja nitajipanga kujaribu.
Hahaha nakumbuka mwamba alivyokuwa anaweweseka [emoji23][emoji23]hahahaaa unakumbuka zile pisi na mganda na desparado?
Nmeishi saana kiwanda kilipo, watu wameumia saana kwa hzo mambo... Ila wastaarabu wanapeta... Ni nice drink[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazma apige chenchi
Hahaha asirudishe chenjiUnipe mrejesho mkuu sema hakikisheni hajala ubwabwa kwanza[emoji28]