ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Woga wako ndio umaskini wako [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipende sana wine waachie watoto wa kike...Umenisababishia kiu kali sana ya mvinyo.
Red wine ile dry na mishikaki kadhaa au na kuku wa kuokwa au kuchomwa siyo wa kukaangwa na mafuta.
tena zipo kwa ajili ya bara arab pekeeKumbe watoa product nyingi!!
Brother una safari ndefu sana ya kuujuwa mvinyo aina zake na faida zake kwa binadamu yeyote na faida za kipekee kwa mwanaume.Usipende sana wine waachie watoto wa kike...
wine zinalegeza mwili na kurembua.....
be careful brother
Ni changamoto la soko letu...nadhan tunahitajika sana kutangaza na kubrand bidhaa zetu zijulikane kimataifaSasa mbona hatuzioni kwenye shelves za supermarkets nje ya nchi?
Kama Wine za SA zimejaa Ulaya huko mnashindwa nini
Sijui tunakwama wapi? Sidhani kama ziko chini ya viwango
Tunakosa fedha za kigeni kwa woga wetu tu
Ni changamoto la soko letu...nadhan tunahitajika sana kutangaza na kubrand bidhaa zetu zijulikane kimataifa
[emoji23]Woga wako ndio umaskini wako [emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi umejiskiaje baada ya kulamba divai? Mbona hujaleta mrejesho?Nimeshaingia mkuu.
Ahadi yetu tuliitimiza jana.
Mrejesho nilileta.Vipi umejiskiaje baada ya kulamba divai? Mbona hujaleta mrejesho?
Hahahahah naomba uje ofisi ya waziri mkuu huku tuongee vizuri (PM) officeMrejesho nilileta.
ISO M.CodD mhadithie ilivyokuwa[emoji23].
Nilipiga pafu 2 tu,nilisikia uchungu mdomoni utadhani nimemeza muarobaini[emoji21]..
Sikuona kilichobadilika,akili yangu ilikuwa vilevile....
Kwahiyo niliconclude kuwa kumbe hakuna kitu kinachoitwa kulewa.
[emoji38]Hahahahah naomba uje ofisi ya waziri mkuu huku tuongee vizuri (PM) office