Produza wa Afrika Kusini Ameomba Msamaha Wa Tanzania Hasa Mashabiki wa Yanga

Produza wa Afrika Kusini Ameomba Msamaha Wa Tanzania Hasa Mashabiki wa Yanga

Somi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2009
Posts
3,921
Reaction score
4,858
Tumepokea japo hatuwezi kusahau
 
Attachments

  • 6BF9ACA7-9785-4BF8-8B19-B90C0F478C10.jpeg
    6BF9ACA7-9785-4BF8-8B19-B90C0F478C10.jpeg
    868.2 KB · Views: 2
Mtaandika yote kurasmisha kushindwa kwenu.
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Me ni simba damu damu na jana lile shuti lilipopigwa nikaumia kwamba Yanga wanaenda kutusumbua mwezi mzima sasa....

Lakin baada VAR kukataa sio goli asee nikawaonea huruma watani wameonewa lile ni goal kabisaa hakuna ubishi
 
Ukishajigundua wewe ni mnyonge unatakiwa ubakie kwako uuze mahindi ya kuchoma yaliyopakwa limao,chumvi na pilipili.Wababe unawaacha wachanje mbuga.Simple tu!
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Me ni simba damu damu na jana lile shuti lilipopigwa nikaumia kwamba Yanga wanaenda kutusumbua mwezi mzima sasa....

Lakin baada VAR kukataa sio goli asee nikawaonea huruma watani wameonewa lile ni goal kabisaa hakuna ubishi
Kinachoangaliwa ni ushahidi kama ni goli, ushahidi umekosekana refa na var wafanye nini?

Utopolo aone sasa kama kuitwa mwakarobo ni furaha
 
Ishatokea na kwenye mpira hata muonewe vip matokeo yana baki kuwa vilevile.
 
Kinachoangaliwa ni ushahidi kama ni goli, ushahidi umekosekana refa na var wafanye nini?

Utopolo aone sasa kama kuitwa mwakarobo ni furaha
Je ushahidi gani unataka tofauti na huu hapa chini?
 
Hii haitoshi Yanga administration must fight non stop claiming for match fixing , haki haiombwi hudaiwa kwa nguvu na Yanga itashinda kwenye hili maana dunia nzima imeona kwa macho dhulma uliofanywa na VAR room crew na refa wao wa mchongo!
 
Wasipoongea Simba Afrika itaongea.... Hata Simba wakiwa chooni moja moja wanasema ila dah.... Kweli wananchi wamenyimwa Gori ... Ndipo unakuja ile kauli potelea mbali wangesumbua Sana😅😅😅😅🤭.
 
Back
Top Bottom