Prof Adolf Mkenda anafaa kuwa Makamu wa Rais (Msomi, Msikivu, Mkatoliki & Busara)

PhD ya Uchumi holder toka University of Gothenburg, Sweden, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenyw maono kwa taofa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima
Mwenye Hisa mkubwa,Mabasi ya Kampuni ya Tilisho
 
PhD ya Uchumi holder toka University of Gothenburg, Sweden, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenyw maono kwa taofa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima
Huyu ana misimamo kama Lissu
Hakuna mkatoliki halafu ana damu ya kaskazini damu ya kibishi

Atajiuzulu nae
Na alishawahi kupishana na bibi yenu kwa misimamo yake

Huoni akawekewe mtoto wa Rais
Kama naibu

Mama anahitaji kubwa jinga kama Wasira au Makonda

Si mnaona Mwigulu alivo fit

Mkendq msomi mwenzangu he will never fit
 
PhD ya Uchumi holder toka University of Gothenburg, Sweden, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenyw maono kwa taofa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima
Yaani ingekuwa nzuri mpaka watu washangae lakini ndio hivyo tena yeye hana uchawa na sio rahisi akachaguliwa.
 
PhD ya Uchumi holder toka University of Gothenburg, Sweden, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenyw maono kwa taofa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima
Huyo hawezi kwakuwa ni mkweli na muwazi mno, labda hiyo nafasi wampe Mwijaku
 
PhD ya Uchumi holder toka University of Gothenburg, Sweden, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenyw maono kwa taofa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima
Kwani kina mwijaku, steve nyerere na doto magari si wapo?
 
Daaah na sio mzalendo kabisa kwa watanganyika n tanganyika yetu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom