Wakatoliki wakiwa viongozi hata kama watakuwa na mapungufu kidogo lakini kwenye mambo ya Msingi ya Nchi wapo strict sana. Hata kama atakuwa mwizi, ataiba tu matunda kidogo lakini wengine wanaiba matunda pamoja na kung'oa ule mti wa matunda kabisa.Kumbe ukatoliki ni sifa ya kuwa kiongozi! Ndio najua leo mie.