and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Mwenye Hisa mkubwa,Mabasi ya Kampuni ya TilishoPhD ya Uchumi holder toka University of Gothenburg, Sweden, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenyw maono kwa taofa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima
Huyu ana misimamo kama LissuPhD ya Uchumi holder toka University of Gothenburg, Sweden, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenyw maono kwa taofa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima
Anafaa kabisa tatizo uchaga wake ndo unamponza.PhD ya Uchumi holder toka University of Gothenburg, Sweden, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenyw maono kwa taofa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima
Yaani ingekuwa nzuri mpaka watu washangae lakini ndio hivyo tena yeye hana uchawa na sio rahisi akachaguliwa.PhD ya Uchumi holder toka University of Gothenburg, Sweden, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenyw maono kwa taofa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima
Huyo hawezi kwakuwa ni mkweli na muwazi mno, labda hiyo nafasi wampe MwijakuPhD ya Uchumi holder toka University of Gothenburg, Sweden, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenyw maono kwa taofa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima
Waluteri na Waanglikana wao wana nafasi yao ya PMHivi issue za dini hua zinafaida gani?
Huyu Mkatiloki huyu Muslim !
Nadhani mtu apimwe kwa uwezo wake ni bora zaidi
Kwani kina mwijaku, steve nyerere na doto magari si wapo?PhD ya Uchumi holder toka University of Gothenburg, Sweden, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenyw maono kwa taofa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima
Hili swala la udini lina faida gani yani?Waluteri na Waanglikana wao wana nafasi yao ya PM
Katoliki ndio wenye MoUWatz tumefika hatua ya kuongelea dini wazi wazi hivi. Asipokia mkatoliki itakuaje