Wakatoliki wakiwa viongozi hata kama watakuwa na mapungufu kidogo lakini kwenye mambo ya Msingi ya Nchi wapo strict sana. Hata kama atakuwa mwizi, ataiba tu matunda kidogo lakini wengine wanaiba matunda pamoja na kung'oa ule mti wa matunda kabisa.Kumbe ukatoliki ni sifa ya kuwa kiongozi! Ndio najua leo mie.
Mwenye Hisa mkubwa,Mabasi ya Kampuni ya Tilisho
Wengine tunataka iwe Abdul au Wanu, huyo wako si chaguo la wote.PhD ya Uchumi holder toka University of Gothenburg, Sweden, Mkatoliki mfia dini, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenye maono kwa taifa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima.
Ungejua Historia halisi jinsi Uhuru ulivyopatikana usingesema hayo. Nenda kauleze wazee wenye akili kuwa, Nyerere alikwenda UN kudai uhuru, kwa mwongozo na msaada wa nani?TEC WANANIFANYA WANA UROHO SANA NA UONGOZI WA NCHI HII
LAKINI ENZI ZA UKOLONI HAWAKUWA KATIKA KUPIGANIA UHURU KENGE HAO
Ukiwa na hisa kubwa, wewe ndiye mmilikiHis a, au yeye ndio Mmiliki halali.?
Umeshamharibia mzee wa watu! Nani amekuambia UKATOLIKI ni sifa?PhD ya Uchumi holder toka University of Gothenburg, Sweden, Mkatoliki mfia dini, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenye maono kwa taifa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima.
Ameshamharibia mzee wa watu, huyo ni mchawi km wachawi wengineKwani ni lazima awe mkatoliki
Nchi hii ni msomi gani amewahi kufanya kazi ya kisiasa kwa namna inayoakisi usomi wake?PhD ya Uchumi holder toka University of Gothenburg, Sweden, Mkatoliki mfia dini, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenye maono kwa taifa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima.
Hao mambwa wanatuharibia nchi. Tunahitaji Rais jasiri amweke MSABATOKumbe ukatoliki ni sifa ya kuwa kiongozi! Ndio najua leo mie.
Ungejua Historia halisi jinsi Uhuru ulivyopatikana usingesema hayo. Nenda kauleze wazee wenye akili kuwa, Nyerere alikwenda UN kudai uhuru, kwa mwongozo na msaada wa nani?
Akili za matakoni ndio zinafikiri km hivi..kusifia sifia watu ovyo..PhD ya Uchumi holder toka University of Gothenburg, Sweden, Mkatoliki mfia dini, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenye maono kwa taifa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima.
Weeeee! HUYU ana msimamo na amenyoooka hawezi kupewa. Hiyo nafasi atapewa poyoyo mmoja wa ndio mkuu hata akijambaPhD ya Uchumi toka University of Gothenburg, Sweden, Mkatoliki mfia dini, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenye maono kwa taifa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima.