The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Namwona huyu mama kimwili ni CCM ila ndani ya moyo wake ni No reform No election..msikilize hapa.
Yaani wewe na Amos makalla ni chungu kimojaHuyo mama ni mjinga na mpumbavu. Kama ni kweli anayosema, kwanini anang'ang'ania kubaki CCM? Si aende kwa wasafi wenzake? Narudia tena huyu Prof. Tibaijuka ni MJINGA NA MPUMBAVU!!
Uadilifu wa mamilioni ya mbogaNamwona huyu mama kimwili ni CCM ila ndani ya moyo wake ni No reform No election..msikilize hapa.
View attachment 3281860
Na ndio maana chama chetu kinaongoza nchi hii.Yaani wewe na Amos makalla ni chungu kimoja
Huyo mama ni mjinga na mpumbavu. Kama ni kweli anayosema, kwanini anang'ang'ania kubaki CCM? Si aende kwa wasafi wenzake? Narudia tena huyu Prof. Tibaijuka ni MJINGA NA MPUMBAVU!!
Haswa, alipokea za Ruge enzi zile
Kweli uadilifu na Uzalendo zimekosa maana siku hizi
Huyo mama ni mjinga na mpumbavu. Kama ni kweli anayosema, kwanini anang'ang'ania kubaki CCM? Si aende kwa wasafi wenzake? Narudia tena huyu Prof. Tibaijuka ni MJINGA NA MPUMBAVU!!
Naona Prof ameamua kumrudia Mungu Muumba wake !Kumekucha
Ungekuwa na nusu tu ya akili zake ungekuwa umejikomboa!! Lakini Kwavile huna akili ndio maan huelewi Huyu mama anatetea nini. Mama Ti baijuka anatetea haki za waTanzania; ili wawe na uhuru wa Kweli na sio uhuru wa bandia wa kuwaibia kura zao wananchi na kuwateua wawakilishi wasiokuwa na ridhaa ya wananchi!Huyo mama ni mjinga na mpumbavu. Kama ni kweli anayosema, kwanini anang'ang'ania kubaki CCM? Si aende kwa wasafi wenzake? Narudia tena huyu Prof. Tibaijuka ni MJINGA NA MPUMBAVU!!
Unachomzidi huyu mama ni UJINGA NA UMASIKINI.Huyo mama ni mjinga na mpumbavu. Kama ni kweli anayosema, kwanini anang'ang'ania kubaki CCM? Si aende kwa wasafi wenzake? Narudia tena huyu Prof. Tibaijuka ni MJINGA NA MPUMBAVU!!
Ndege wafananao huruka pamoja ?!Ukiamua kuwa mwana siasa ishi kama mwana siasa,ukiingia ni lazima uishi na upepo uliopo,ukianzisha upepo wako tofauti na wenzako lazima utachemsha.Ndio maana huwa namshangaa sana mtumishi wa Mungu anayeingia kwenye siasa na kukaa muda mrefu...
huyu ni ndumilakuwili kabisa👿 anafuata upepoHuyo mama ni mjinga na mpumbavu. Kama ni kweli anayosema, kwanini anang'ang'ania kubaki CCM? Si aende kwa wasafi wenzake? Narudia tena huyu Prof. Tibaijuka ni MJINGA NA MPUMBAVU!!