Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Aturudishie milioni 10 zetu za mboga aache ujinga hapaNamwona huyu mama kimwili ni CCM ila ndani ya moyo wake ni No reform No election..msikilize hapa.
View attachment 3281860
Aturudishie milioni 10 zetu za mboga aache ujinga hapaNamwona huyu mama kimwili ni CCM ila ndani ya moyo wake ni No reform No election..msikilize hapa.
View attachment 3281860
Hata mimi sijasema wana kesiKweli hela ya Ruge ilikuwa na kosa gani? Ulishawahi kusikia kama kuna yeyote amewahi kuhukumiwa kwa sababu ya hiyo pesa?
Kuna baadhi ya mambo kwa kweli alikuwa vizuri ila saizi kusema hayo anayoyasema ni unafki wakati ule angesema haya ndio ingeleta maana.Aturudishie milioni 10 zetu za mboga aache ujinga hapa
Huo ni ukweli wa munguNamwona huyu mama kimwili ni CCM ila ndani ya moyo wake ni No reform No election..msikilize hapa.
View attachment 3281860
Huyu mama hakuchukuaga B kadhaa za IPTL kipindi kile huyu?Namwona huyu mama kimwili ni CCM ila ndani ya moyo wake ni No reform No election..msikilize hapa.
View attachment 3281860
Shambulia hoja, sio mtoa hojaHuyo mama ni mjinga na mpumbavu. Kama ni kweli anayosema, kwanini anang'ang'ania kubaki CCM? Si aende kwa wasafi wenzake? Narudia tena huyu Prof. Tibaijuka ni MJINGA NA MPUMBAVU!!
Mkuu, tumia lugha ya staha. Mama ni Mama tuu, mheshimu.Huyo mama ni mjinga na mpumbavu. Kama ni kweli anayosema, kwanini anang'ang'ania kubaki CCM? Si aende kwa wasafi wenzake? Narudia tena huyu Prof. Tibaijuka ni MJINGA NA MPUMBAVU!!
Wewe kweli mtoto wa shule. Ahadi namba 8 ya mwana-TANU ilikuwa inasema “Nitasema kweli daima, fitina kwangu ni Niko” CCM inahitaji wasemakweli wengi zaidi sasa kuliko wakati wowote. Kazi anayofanya huyu prof ni kubwa na mimi nasema nshomile kanyaga twende.Huyo mama ni mjinga na mpumbavu. Kama ni kweli anayosema, kwanini anang'ang'ania kubaki CCM? Si aende kwa wasafi wenzake? Narudia tena huyu Prof. Tibaijuka ni MJINGA NA MPUMBAVU!!
Punguza jazba mpaka umekosa cha kuandika. Si wote ccm ni wachafu. Hata hivyo ameongea ukweli, si ccm tu, maofisini, kwenye jamii ukiwa umenyooka unapigwa vitaHuyo mama ni mjinga na mpumbavu. Kama ni kweli anayosema, kwanini anang'ang'ania kubaki CCM? Si aende kwa wasafi wenzake? Narudia tena huyu Prof. Tibaijuka ni MJINGA NA MPUMBAVU!!
Upuuzi unakusumbua.... Hoja yake imegonga kwenye mshono!! Unarukaruka kama maharage ya mbeya.Huyo mama ni mjinga na mpumbavu. Kama ni kweli anayosema, kwanini anang'ang'ania kubaki CCM? Si aende kwa wasafi wenzake? Narudia tena huyu Prof. Tibaijuka ni MJINGA NA MPUMBAVU!!
Kuna baadhi ya mambo kwa kweli alikuwa vizuri ila saizi kusema hayo anayoyasema ni unafki wakati ule angesema haya ndio ingeleta maana.
Wewe ndio mpumbavu umesikia amesema CCM?Wewe unaunga hoja wachafu?kitu gani kasema uongo?Huyo mama ni mjinga na mpumbavu. Kama ni kweli anayosema, kwanini anang'ang'ania kubaki CCM? Si aende kwa wasafi wenzake? Narudia tena huyu Prof. Tibaijuka ni MJINGA NA MPUMBAVU!!
No wonder ni kweli kabisa sababu tunakosa madawa kusumbuka na umasikini ...mlivyo wapumbavu mnaanza kulilia pesa za walipa kodi wenzenu wamarekani zenu mnawalipa wasanii na kununua magoli huku vijana wenu wakiwa nyumbu hawajielewi kwa lolote kwa chochote mpaka inabidi recall wazeeNa ndio maana chama chetu kinaongoza nchi hii.
Ahahahahaha! Those who think are mentally fit than others are always in a severe brain damage!Wewe lazima ni kichaa, na JF siyo mahali pako. You better work on the health of your crippled brain.
Huyo mama ameutumikia mfumo huu kwa zaidi miaka 40. Mfumo huu uzi ukampa madaraka makubwa ndani na nje ya nchi. Akala matunda yaliyonona kupitia mfumo huu. Leo anafikia mwisho ndio anaupondopa? Huo ni UNAFIKI WA HALI YA JUU na hautakiwi kukaliwa kimya na mtu mwenye akili timamu kama Mimi!Ungekuwa na nusu tu ya akili zake ungekuwa umejikomboa!! Lakini Kwavile huna akili ndio maan huelewi Huyu mama anatetea nini. Mama Ti baijuka anatetea haki za waTanzania; ili wawe na uhuru wa Kweli na sio uhuru wa bandia wa kuwaibia kura zao wananchi na kuwateua wawakilishi wasiokuwa na ridhaa ya wananchi!
Sawa. Na wewe unalingana nae nini?Unachomzidi huyu mama ni UJINGA NA UMASIKINI.
Kinachonikera, yeye kala matunda ya nchi hii hadi akavimbiwa kwa kupitia mfumo huu huu. Leo eti anauponda? HAIKUBALIKI KABISA!!!!huyu ni ndumilakuwili kabisa👿 anafuata upepo
CCM kuanguka 😀 it will never happen in your life time, soma uchambuzi wa wanazuoniNi muda wa CCM kuangukia pua